shukrani

u hve to be fast too go as the wind blows dear
Sorry Pearl, this thread is moving too fast my dear! Ndio maana sikuona hiyo salamu. Weekend ilikuwa bomba sana, I can not complain.
 
mm nilisajest elfu 5 ndio niliyoandika kwenye thred,baada ya kukutana watu wakajikuta wanagushwa zaidi so ikapanda,au sio masaki n original membaz?

Yes! The original minimum contribution was suggested at Tshs. 5,000. Ila tangu watu wameanza kuchanga, wastani umekuwa shilingi elfu 25,000 kwa kila memba!

Hiyo haimaanishi kwamba asiye na hiyo pesa asichangie! Kwa hivyo bado tunaweka kima cha chini kuwa Shilingi 5,000!! Kutoa zaidi ni baraka zaidi kwa ndugu zetu wahanga wa mafuriko!

Nadhani sasa tuko kwenye ukurasa mmoja!
 
Pearl naona kuna wapiga debe wazuri hamkuwashirikisha kingetoka kiasi kikubwa sana.
Mi hapa nilikuwa sijui kama kuna function hiyo any way nafunga kunywa beer wiki nzima kwa ajili ya kuchangia.
 
Apology kwa kutofika - Nawashukuru wote waliofika - God Bless

Nitafanya "logistics" za kukabidhi pledge yangu ASAP
 
@masaki
mkuu acha kututamanisha tupe maafikio ya kikao

Ukweli ni kwamba kikao kilikuwa na mambo mengine mazuri zaidi kuliko hata lengo lenyewe! Kwa hiyo mafanikia ya kikao mpaka sasa si haba! Michango bado tunaendelea kupokea. Unaweza kumtumia Peal PM meseji kisha logistics za kupata hizo pesa ziakendelea!

''Deadline'' yetu ya kukusanya michango hii ni Ijumaa ya wiki hii. Wajumbe naomba mnikosoe kama nimekosea hapo! :)
 
my dear nilijaribu kuwasiliana na watu as many as possible,anywei kwa walio fika wanaweza kunisapot kwenye hii lkn mm binadam nahitaji kusamehewa nilipokosa,ok kwa ww uliepata taharifa sasa waambie na wengine bado tunapokea michango
Pearl naona kuna wapiga debe wazuri hamkuwashirikisha kingetoka kiasi kikubwa sana.
Mi hapa nilikuwa sijui kama kuna function hiyo any way nafunga kunywa beer wiki nzima kwa ajili ya kuchangia.
 
wala huhakosea my dear ww si ndo spika wa original membaz umesahau?
Ukweli ni kwamba kikao kilikuwa na mambo mengine mazuri zaidi kuliko hata lengo lenyewe! Kwa hiyo mafanikia ya kikao mpaka sasa si haba! Michango bado tunaendelea kupokea. Unaweza kumtumia Peal PM meseji kisha logistics za kupata hizo pesa ziakendelea!

''Deadline'' yetu ya kukusanya michango hii ni Ijumaa ya wiki hii. Wajumbe naomba mnikosoe kama nimekosea hapo! :)
 
Ukweli ni kwamba kikao kilikuwa na mambo mengine mazuri zaidi kuliko hata lengo lenyewe! Kwa hiyo mafanikia ya kikao mpaka sasa si haba! Michango bado tunaendelea kupokea. Unaweza kumtumia Peal PM meseji kisha logistics za kupata hizo pesa ziakendelea!

''Deadline'' yetu ya kukusanya michango hii ni Ijumaa ya wiki hii. Wajumbe naomba mnikosoe kama nimekosea hapo! :)

mkuu mchango wangu niliuwakilisha same day kwa pearl na alinipigia wakati anakabizi na akawakilisha salamu zangu akiwakikaoni nampa pongezi dada yetu kwa utendaji nzuri
 
wala huhakosea my dear ww si ndo spika wa original membaz umesahau?
Ni kina nani hao? At least nimeshawajua Masaki, Pearl na Jeni. Wengine ni kina nani hao? I want to put my hands together for you guys!
 
thx dia wanajua mchango ulifika anywei next tyme usikose maana kuna mambo mazuri mengi tulipanga so itakapo tokea tour ya kusafiri unakaribishwa
mkuu mchango wangu niliuwakilisha same day kwa pearl na alinipigia wakati anakabizi na akawakilisha salamu zangu akiwakikaoni nampa pongezi dada yetu kwa utendaji nzuri
 
Ni kina nani hao? At least nimeshawajua Masaki, Pearl na Jeni. Wengine ni kina nani hao? I want to put my hands together for you guys!

Bujibuji, jamaa ana stori nyingi sana kwenye mazungumzo kuliko hata anavyochangia humu jamvini! It was very fun!!! :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom