Shukrani za ushindi wa kishindo kwa ccm

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Jamani

Kwa wale wenye Ratiba za Chama Cha Magamba, au za Mwenyekiti wake au za Ikulu kabisa
Ni lini Jakaya ataanza dhihara za mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura kwa
wingi yeye na chama chake kwenye uchaguzi wa Mwaka Jana, wengine tuliishazoea mambo
hayo, mbona amechelewa sana?
 
Jamani

Au aliishatuma shukrani zake kwa Usalama wa Taifa na Tume ya Uchaguzi,
sababu nasubiri sana nimsikie akija Mwanza kwa shughuli kama hii.

Maana ya swali langu ni je? Jakaya anaubavu wa kujitokeza kwenye UMA ambao
hajaundaa yeye mwenyewe na kuzungumzia uchaguzi mkuu uliopita?
Anaweza akawasukuru wana Ilemela na Nyamagana, Geita na Mbeya au Njombe?
na pia anaweza kwenda maeneo hayo with a smiling face tena katika maisha yake yote hapa duniani?
 
Wewe humfahamu jk anavisasi kweli hawezi kufanya hilo wewe!
Amekasilika sana na ndo maana hata vikao vya arusha (eac) alikileta dar!
 
Thubutu hajitakiii mema muulize kitu gani kimemfanya azeeke haraka na uso kuwa wa majonzi ,mwizi ni mwizi tuu
 
Weeeeeh aje tuone....but wamshauri atoe shukrani hizo kwenye MEDIA sindiyo wamezoea
 
Mwaka 2010 haukuwa uchaguzi wa raisi bali kura za maoni, kama bado Kikwete anapendwa ndiyo maana Tendwa alishangaa makaratasi ya kura yana wagombea wengi. Hivyo Kikwete haoni haja ya kuwashukuru Watanzania.
 
Back
Top Bottom