iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.