Shugamami anataka nitumie pesa zake

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.
 
I'm too old for this...........source TB
 
Wivu si kitu kibaya katika mapenzi. Huonyesha mapenzi aliyonayo mtu, ingawa ikizidi ni tatizo kubwa. La msingi ni kumshauri na kumuonyesha kuwa wewe ni mtu ambaye unajiamini na unamuamini mpenzio na kamwe si mtu wa kudandia wanawake hovyo.
Inawezekana huo umri wake ndiyo unamfanya ahisi kwamba unaweza kuwa na vimwana nje. Muonyeshe upendo na ukaribu na msisitizie mara kwa mara kuwa umeamua kuwa naye yeye tu na unampenda kwa dhati regardless ya tofauti ya kiumri.

Suala la kuacha mishe mishe zako na kwenda kusimamia miradi yake kwangu halina msingi maana kama una tabia mbaya unaweza kuiendeleza hata hapo kwenye miradi yake na pia naona kama si picha nzr sana kwa mwanaume kusimamia miradi ya mpenzio wakati hata ndoa naye bado! Unaweza usieleweke!

By the way, kwa nini unahangaika na shugamami wakati mabinti wa umri wako wapo wengi? Je, ni kwa ajili ya hivyo visenti na miradi yake? Kama ndvyo aisee, wewe ni mwanaume, badili tabia na jitafutie kwa jasho lako.
 
Huyu jamaa alisha kuja hapa na habari za ushoga,....
leo kawekwa ndani na jimama ohooooo,...
waulize wenzako wa mombasa wanavo fanywa + kuchapwa na majimama yao.

kama hii ndio trend ya post zake huruma bure....... mtoto sio riziki huyuuu!
 
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.
Kubali ule vyabure unenepe kama paka wa feri,akishampata mwenzio anaeweza kukushinda wewe ukubali na kufukuzwa pia. ukisikia wanaume kama ma Bint ndio wewe..
 
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.

Subiri akuweke kwenye chupa kwanza,soon utakuwa zezeta aka mwanaume suruali.
 
hehehehehehehe miaka 7 siyo issue, wewe unataka kuolewa au kuoa, ushauri piga mzigo fanya mishe zako au piga chini tafuta mtu wakukufaa ucije mwagiwa tindikali bureeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom