Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,132
- 22,383
Naunga mkono hoja....
mwenzako anauliza swali unaandika naunga mkono hoja.hoja gani hapo juu
jibuni acheni kuiga vya wenzenu
Naunga mkono hoja....
Kwa mtazamo wangu naona ni biashara kama biashara nyingine kwakuwa kodi zote zinalipiwa kama inavyotakiwa.sioni tatizo lake kabisa.Ivi izi show rooms za magari amabazo kila kukicha zinafumuka is not about time serikali ikazichunguza???mana to me ni kama some type of money laundering techniques!!!mana ukiwa na USD 1-5M ivi na huwezi kuweka benki what will you do?
Zamani walikuwa wanajenga nyumba lakini hii imestukiwa kirahisi so nadhani wamehamia kwenye hii biashara mpya!!
Takukuru,TRA please investigate!!
ni sahihi mkuu...inafaa kufanyika unvestigation hapo
eneo jingine ni la biashara ya furnitures, hasa imported furnitures...ni kweli kuwa bongo imekuwa ni nchi ya consumers kwa hiyo biashara ambayo imelenga huko itauza sana lakini hao investors katika hiyo sekta ndio wenye kupaswa kuchunguzwa.
Mi nafikiri tungewapongeza kwa kuwa wameweza kumshauri mnunuzi na kuridhika. kama mfanyabiashara utaweza kumake more than 100% profit,basi wewe ni succesful businesman na si wizi au utapeli kwakuwa biashara ni maelewano.kama ulikuwepo kaka. Gari inaagizwa kwa 6mil. Show room unaikuta kwa 12to 13mil. and ppl buy!! upff!!
Biashara ya hizi showrooms ni biashara za kupigana za usoni tu na kuwalalia malimbukeni wa magari. Lakini kipi kipya?[/QUOTE]
mzee naona hio red iwe 2nd name yako
Ivi izi show rooms za magari amabazo kila kukicha zinafumuka is not about time serikali ikazichunguza???mana to me ni kama some type of money laundering techniques!!!mana ukiwa na USD 1-5M ivi na huwezi kuweka benki what will you do?
Zamani walikuwa wanajenga nyumba lakini hii imestukiwa kirahisi so nadhani wamehamia kwenye hii biashara mpya!!
Takukuru,TRA please investigate!!
Ni kweli wafanyakazi wa serikali wanapewa msamaha wa kodi yani exemption lakini ni mara moja ndani ya miaka mitano.lakini ni ngumu sana kumuuzia mtu mwingine bila kumwambia kama hiyo gari iliingizwa nchini kwa msamaha wa kodi,kwa kuwa pindi atakapopeleka kadi ya gari TRA kutaka kubadilisha habari za mmiliki,atatakiwa kulipia difference ya ushuru uliyosamehewa pindi gari hilo lilipoingizwa nchini kwakuwa habari zote za gari hilo wanazo kumbukumbu zake kwenye database yao.Halafu naskiaga eti wafanyakazi wa sirikali huwa wanapewa kaunafuu flani kwenye kodi za magari yenye cc flani. Naskiaga wakisha osha nyota nazo kwa saana town mwishoe wengi huwaga wanakujaga kuzirusha humu kwenye mashowroom. Ujinga mtupu.
You seems to be good in this industry, well and good. How will you help the ones who are looking for being customers of these tired van to decide wisely?kama ulikuwepo kaka. Gari inaagizwa kwa 6mil. Show room unaikuta kwa 12to 13mil. and ppl buy!! upff!!
Showroom za magari ni kama biashara nyingine ilimradi magari yako usiyapaki ovyo nje ya uzio wako na kusababisha mtafauku kwa wapita njia...mkuu tukisema na baa zote zihamishiwe kibaha hiyo imekaaje?Guys, mimi naona imefika wakati serikali iweke utaratibu kutenga eneo maalum kuwa "soko" la magari yaliyotumika kama ilivyo Dubai.....sehemu moja au mbili zinatengwa, zenye eneo kubwa sana, kila anayetaka kuuza magari yake anaenda huko anapewa eneo (plot)!! Hii inasaidia sasa kuboresha mazingira ya jiji, maana sasa hizi show room karibu zinafika vyooni mwetu!! Mahala kama Kibaha au Mkuranga kungefaa sana...!! Kwa kuwa magari used yapo sehemu moja ni lazima watu watayafuata tu...centralised market!! Kuhusu kodi nadhani wanalipa laikini serikali iangalie sana rushwa hasa katika "kuyapitisha" hayo magari yaonekane yapo ok kumbe jamaa wameokota ambayo quality yake ni mbaya sana!! Mimi nimewahi kuingiza magari mawili nchini kwa matumizi binafsi ya familia, moja la 2001 na jingine la 2002! Magari yote yaliingia 2008, cha kushangaza kila gari nililipishwa kodi zaidi kwa madai kuwa ubora wake hauendani na bei (kwamba bei ni ndogo zaidi)!! Nimekuwa nikijiuliza, je hawa wanaoleta yaliyochoka huwa wanafanywaje? Nadhani hao ndiyo wangelipa kodi hata mara tatu zaidi maana after 2 years magari yote hayo ni mikweche.....
TRA, TAKUKURU, POLISI na Shirika la Viwango hebu angalieni hapo....