Kwani mwnaume akiona itamsaidia nini ataacha kukumega?
Nilivyokuja kumuuliza ilikuaje mbona nilipotoka tu mtoto alitoka, wife akaniambia walimwongeza njia kwa kisu. Tangu siku hiyo naheshimu sana wanawake na nimekua na mtizamo tofauti kabisa kwa wanawake.
Ila sipendi tena kushuhudia hiyo process. It is to dificult. Naona ni vyema wanaume walazimishwe kushuhudia angalau mara moja katika maisha yao, hii itawaadabisha wanaume wanaowanyanyasa wanawake.
why do u want to forget so soon? kuona tu inakutisha.Ungepitia hiyo process je?I suggest entering delivery room to be option not mandatory. To me, I don't see the reason of men entering in the delivery room. For the someone trained on the matter should, but if not it would take several months to forget what you observed in the delivery room.
Kwa hiyo basi hili waachiwe wanaume wenyewe kama una ujasiri wa kwenda kumuunga mkono na kumpa nguvu mkeo/GF wakati anajifungua kila la heri la kama unajijua huna ujasiri kama huo basi uwe mitaa ya jirani jirani shughuli ikimalizika wanakutonya Baba nanihii njoo umuone mwanao shughuli imeshamalizika na wote wako salama salmini.
Nakubaliana na wewe Mkuu iwe choice ya wanaume, Ila endapo Mkeo atasisitiza ushuhudie zoezi lenyewe utamkatalia? Nadhani kabla hujamkatalia fikiri kwanza jinsi anavyokua amechoka kutokana na ujauzito, Fikiri jinsi tumbo linavokua kubwa kiasi cha wakati mwingine kushindwa hata kulala, au wakati mwingine akiwa amelala usiku anashindwa kugeuka mpaka anakuombe usaidie kubeba tumbo na kulihamishia upande wa pili. Think about these kabla hujajibu.
Naam unamkatalia kwa kumuelewesha kwamba kuwepo kwako badala ya kuwa msaada kunaweza kukaleta matatizo katika ndoa yenu maana hujui reaction yako itakuwa vipi baada ya kuona moja ya maajabu makubwa ya Mungu.
Kuna wabongo wana watoto watano siku zote dada wa mke ndiye aliyeingia kwenye shughuli hii sasa siku hiyo dada hakuweza kuhudhuria basi Njemba ikawa tayari kwenda kumpa nguvu mkewe. Mke alimuomba aondoke haraka sana kwa kuwa hakupenda mumewe amuone katika hali ile ya kujifungua na pia anamjua mume wake alivyokuwa muoga wa mambo haya. Kama mke anayeelewa ukimuelewesha kwamba ni bora tu usubiri nje nadhani atakuelewa badala ya hili la kukataa kuingia kuleta kasheshe katika ndoa yenu.
Rafiki yangu mmoja aliingia derivery room,baada ya kuona mtoto anaanza kutoka jamaa alizimia manesi wakaanza kumshughulikia tena, hakuweza kumuona mtoto mpaka kesho yake. Jamaa kaapa hatokanyaga tena delivery room.
i suggest that men should be allowed(if possible forced) to enter the delivery room,certainly they may learn to respect our mothers.
certainly they need to understand THE POWER OF A WOMAN
A debate has been raging this past week in the UK, about the role of men in the delivery room during childbirth. Some obstetricians suggest that men should be kept well away from delivery rooms as they add little value to the process of childbirth.
I know some Hospital in Dar do allow men in the Delivery room; and the habit is catching up very fast especially in Private Hospitals.
I would like to get your comments on this issue. Ladies/Women are highly encouraged to share their view on this matter
Nilisikia bwana mmoja aliyejaribu mambo haya alipata erectile dsyfunction after that ikabidi aende counselling,hata counselling hakufanikiwa until one year later.Take Care usiume zaidi yayale unaweza kumeza.Only a very strong man anaweza kustahimili labour ya mpendwa wake.Tena nimesikia story ya kijana aliye mzalisha mamake mzazi kwa kuwa walikuwa mashambani na hakukuwa na mtu yeyote karibu.Imagine that!
i suggest that men should be allowed(if possible forced) to enter the delivery room,certainly they may learn to respect our mothers.
certainly they need to understand THE POWER OF A WOMAN