Should men be kept away from the delivery room?

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
A debate has been raging this past week in the UK, about the role of men in the delivery room during childbirth. Some obstetricians suggest that men should be kept well away from delivery rooms as they add little value to the process of childbirth.

I know some Hospital in Dar do allow men in the Delivery room; and the habit is catching up very fast especially in Private Hospitals.

I would like to get your comments on this issue. Ladies/Women are highly encouraged to share their view on this matter
 
Mimi naunga mkono wanaume wasiingie kabisa delivery room,

ukiingia huko unaweza kosa hamu ya sex kwa muda mrefu.
 
Mimi naunga mkono wanaume wasiingie kabisa delivery room,

ukiingia huko unaweza kosa hamu ya sex kwa muda mrefu.
we are on the same page pal, I wouldnt wish my husband to see the thing man, i wouldnt. Its so scary and only women understand it, i wouldnt allow him to go through such a terrible occation coz after all he will never understand a thing since God put that courage to a woman only.
 
If you want to keep men away from the delivery room, the best way to do that would be keeping them away from the door to the delivery room, not that door, the other door downstairs, if you catch my drift.

That is, if women can afford to do that.
 
mimi kwa kweli naona wanaume wasiruhusiwe kuingia kwenye chumba cha kujifungua coz hawana la kufanya there.
 
we are on the same page pal, i wouldnt wish my husband to see the thing man, i wouldnt. Its so scary and only women understand it, i wouldnt allow him to go through such a terrible occation coz after all he will never understand a thing since god put that courage to a woman only.

exactly.....
 
A debate has been raging this past week in the UK, about the role of men in the delivery room during childbirth. Some obstetricians suggest that men should be kept well away from delivery rooms as they add little value to the process of childbirth.

I know some Hospital in Dar do allow men in the Delivery room; and the habit is catching up very fast especially in Private Hospitals.

I would like to get your comments on this issue. Ladies/Women are highly encouraged to share their view on this matter
i suggest that men should be allowed(if possible forced) to enter the delivery room,certainly they may learn to respect our mothers.

certainly they need to understand THE POWER OF A WOMAN
 
Rafiki yangu mmoja aliniambia kua alishuhudia process yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho, aliniambia alijuta kwa nini alienda lakini mke wake ndie aliyesisitiza kuwa anataka awepo.

Alisema kua ukiona yanayotendeka huko utakua unamtizama mke wako kwa namna tofauti na utajua umuhimu wa mwanamke.

Alifananisha uzazi na na kuvuta mdomo wako wa chini mpaka ngozi ya mdomo irefuke na kufunika kichwa chako kama kuvaa kofia.
 
wanaume waliowahi kuingia watupe maoni yao..hii itasaidia zaidi kujua kama waendelee kuona au wazuiliwe.
 
wanaume waliowahi kuingia watupe maoni yao..hii itasaidia zaidi kujua kama waendelee kuona au wazuiliwe.

Mimi nimeshawahi kuingia. Siyo kitu rahisi kushuhudia hasa ikiwa kupitia Caesarian section. Kama una roho nyepesi unaweza usile nyama kwa muda. Kwa hiyo mimi nadhani si lazima kuzuia bali iwe kwa hiari. Kama unataka kushuhudia poa, kama hutaki poa vilevile. All in all ni experience isiyo na kifani kushuhudia zao lako likiingia ulimwenguni.
 
Hongera kuweza kushuhudia kuletwa kwa kiumbe kipya duniani.
Je baada ya hiyo experience, unadhani una heshima/mapenzi/mtizamo chanya zaidi kwa mwenzio kuliko kabla hujashuhudia?Nilitaka kuona kama kuna value added over and above kuona/kushuhudia.
 
Absolutely! As tough as I think I am I don't think I can go through it. So for someone to love you and sacrifice her body to give you a baby is nothing but admirable! I will always hold that person in the highest esteem.
 
A debate has been raging this past week in the UK, about the role of men in the delivery room during childbirth. Some obstetricians suggest that men should be kept well away from delivery rooms as they add little value to the process of childbirth.

The reverse is true....:p:p
 
This mIraculous process has an effect on attitudes and behaviour not only of men but also women.Wanawake wengi wakishazaa huwa na heshima zaidi na upendo mkubwa kwa mama zao.
 
I went in only once my first born..duh..within less than a minute I was out! sijawahi kurudi na sintarudi...lol although huwa sichezi mbali na maeneo ya hospitali just in case of serious health complications. Mwanamke na mwanaume ni sawa lakini kwenye aspect tofauti ...yaani tuko sawa as human being 100% lakini ukichukulia aspect za jikoni Male (30%) female (70%) and so and on...lakini cummulatively tuko sawa ukijunmlisha maeneo yote (mbalimbali) huo ndio usawa niliojifunza tuko siku hiyo...
 
Absolutely! As tough as I think I am I don't think I can go through it. So for someone to love you and sacrifice her body to give you a baby is nothing but admirable! I will always hold that person in the highest esteem.
but you said you are not married and you will never marry, who were you watching?
 
Bora umejibu mwenyewe NN
Nilitaka kumwambia Mpangwa1 atofautishe mambo 2
1. Ndoa
2. Mtoto/watoto
Haya mambo hayana uhusiano wowote, pia ndoa haina definition, labda kutumia definition ya imani za kidini ambazo nazo hazina mshiko kwa sasa.
Mimi niliingia labour ward nikiwa na umri mdogo sana (chini ya miaka 15) kimakosa nasisitiza kimakosa. Niliyoyashuhudia wakati huo, nadhani kila mtu (hasa mwanaume) aingie kwa hiari yake. Nilijifunza kuwa mazingira ya labour wards ndio yanafanya baadhi ya wakunga kuwa fyatu fyatu
Mpangwa1, unaona mimi sikuwa na ndoa na wala sikuwa nakwenda kuzaa na niliingia, any connection kwenye hoja yako?
 
Mimi naunga mkono wanaume wasiingie kabisa delivery room,

ukiingia huko unaweza kosa hamu ya sex kwa muda mrefu.

kwa hiyo kutokana na usemi wako huu tunaweza ku-deduce kuwa wafanyakazi wa delivery rooms kama ma-dr na manesi hawana hamu kabisa ya sex!
umepotea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom