Collins
Senior Member
- Jul 19, 2012
- 145
- 48
cdm haina utaratibu wa kuunda unda tume kama ccmNi ZZK ndio anachunguzwa peke yake ndani ya Chadema? Dr Slaa anasema mbunge atakaepatikana kahongwa atachukuliwa hatua na kamati kuu ya Chadema, kwenye mambo ya rushwa na ufisadi yanayotea ndani ya serikali Dr Slaa uwa anataka iundwe tume huru kuchunguza lakini kuchukunguza ufisadi ndani ya Chadema Dr Slaa anataka wajichunguze wenyewe kwa nini Dr Slaa na wenzake wasiunde tume huru kuliko kuachia wabunge wa Chadema wajichunguze wenyewe.