Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Kaka katika makosa makubwa ya Zitto ni kusema wale jamaa wanaonewa, na mimi ningekuwa yeye ningesimama na kuwaambia wananchi jamani sikulifahamu hili naomba tuanze upya, hata Clinton alikiri kumnanihii yule mama lakini ilikuwa ni achievement kubwa kwake na mke wake akamsamehe, sasa Zitto ana hoja ya kujibu na ni rahisi tu, jamani mie mwenzenu sikufahamu haya, ndiyo siasa ilivyo, lakini bado naamini haja hongwa, otherwise atakuwa amenikosea sana mimi mwenyewe personally!
Ni kweli unachosema,hatujajuwa bado ni kwanini anamsapoti Mhando_On the other hand,yeye anaelekeza tuhuma kuelekea huko huko kwamba ni siasa za urais.
 
yes they should fire him coz huyu jamaa amezidi sintofahamu anahusishaje tuhuma zake na urais wakati bado kuna miaka 3 mbele kufikia kampeni? au anataka atumie urais kama kichaka chake cha kutokujadiliwa hata pale anaposhutumiwa?..Aende zake huko mbali akagombee kama mgombea binafsi au akajiunge na SAU huko hakuna atakayemjadili sana.
Hapo ndipo na mimi nashindwa kumuelewa zito, kwamba mtu ukisha tangaza nia ya kugombea uraisi basi hustahili kulaumiwa hata kama umefanya kosa? Hapana, hapa mh zito ajitetee kwa hoja. Ila cdm wasimfukuze mpaka hapo itakapothibitika kala rushwa kweli
 
Kaka katika makosa makubwa ya Zitto ni kusema wale jamaa wanaonewa, na mimi ningekuwa yeye ningesimama na kuwaambia wananchi jamani sikulifahamu hili naomba tuanze upya, hata Clinton alikiri kumnanihii yule mama lakini ilikuwa ni achievement kubwa kwake na mke wake akamsamehe, sasa Zitto ana hoja ya kujibu na ni rahisi tu, jamani mie mwenzenu sikufahamu haya, ndiyo siasa ilivyo, lakini bado naamini haja hongwa, otherwise atakuwa amenikosea sana mimi mwenyewe personally!

Alijitolea kusema wanaonewa ama ana sababu?kama anazo unazifahamu?je alizitaja sababu za kuwasapoti hao watu?mawazo yako ni mazuri,but whether they're applicable,that remains to be seen.Kwasasa,ni wazi watu wa ccm siyo tatizo kwake Zitto kwenye mbio za urais,bali kwanza ndani ya chama chake.Nilishangazwa kuona ni kivipi chama chake kinashirikiana na ccm kumkosesha urais,kuna maamuzi yake ambayo huwa yananichanganya sana.Pia akisema ni kwasababu ya posho,je anaowaelekezea ni kina nani?Aliposema anafaa kuwa amirijeshi mkuu,walioshangilia huko bungeni ni kina nani?ni wazi ccm si maadui wa Zitto kiasi tunachodhani,tusubiri tuone kwanza kama sababu za kuwatetea kina Mhando zinamake any sense.Hata hivyo still too fishy...
 
Mimi huyu bwana naona kama hakuelewa alikuwa anasema nini na kina impact gani, i still give him a benefit of doubt, inawezekana kabisa wale akina Mhando walikuwa wana potray picha ya kwamba shirika lao liko sawa na Zitto alikubali, nilimsikia mara nyingi akilisifia shirika nafikiri hata kabla ya mhando sikumbuki vizuri, lakini hii bado nasema sijui alimaanisha nini ila naamini hajahongwa, na angeamka tu kusema jamani sory guys, lakini kama ni hongo, aah, basi tena hakuna jinsi aende tu.

Alijitolea kusema wanaonewa ama ana sababu?kama anazo unazifahamu?je alizitaja sababu za kuwasapoti hao watu?mawazo yako ni mazuri,but whether they're applicable,that remains to be seen.Kwasasa,ni wazi watu wa ccm siyo tatizo kwake Zitto kwenye mbio za urais,bali kwanza ndani ya chama chake.Nilishangazwa kuona ni kivipi chama chake kinashirikiana na ccm kumkosesha urais,kuna maamuzi yake ambayo huwa yananichanganya sana.Pia akisema ni kwasababu ya posho,je anaowaelekezea ni kina nani?Aliposema anafaa kuwa amirijeshi mkuu,walioshangilia huko bungeni ni kina nani?ni wazi ccm si maadui wa Zitto kiasi tunachodhani,tusubiri tuone kwanza kama sababu za kuwatetea kina Mhando zinamake any sense.Hata hivyo still too fishy...
 
Ni kweli unachosema,hatujajuwa bado ni kwanini anamsapoti Mhando_On the other hand,yeye anaelekeza tuhuma kuelekea huko huko kwamba ni siasa za urais.

Sielewi siasa za urais zinaingiaje ktk hili. Kama ni siasa za urais basi tungetegemea tuhuma zitolewe na wanachadema wenzie, lakini hapa tuhuma zimetolewa na ccm. Au ina maana cdm na ccm wanashirikiana kumchafua kwenye hizo siasa za urais? Siamini kama chadema wanaweza kushirikiana na ccm kwa lolote lile, sembuse kumchafua mwananchama na kiongozi mkubwa kiasi hicho kwenye chama chao.
​Zitto anapaswa kuangali mahali alipojikwaa na kuwapa mwanya ccm kumhujumu, akipagundua asahihishe na kusonga mbele.
 
Mimi huyu bwana naona kama hakuelewa alikuwa anasema nini na kina impact gani, i still give him a benefit of doubt, inawezekana kabisa wale akina Mhando walikuwa wana potray picha ya kwamba shirika lao liko sawa na Zitto alikubali, nilimsikia mara nyingi akilisifia shirika nafikiri hata kabla ya mhando sikumbuki vizuri, lakini hii bado nasema sijui alimaanisha nini ila naamini hajahongwa, na angeamka tu kusema jamani sory guys, lakini kama ni hongo, aah, basi tena hakuna jinsi aende tu.
Kwahiyo una maana kila anapozungumza yeye kama mwanasiasa hana malengo?
 
kama kweli ikibinika ni kweli alipokea rushwa hana budi kufukuzwa uanachama na maana wakimtetea tu kamwe nitakuwa na mashaka ya kura yangu 2015 maana itakuwa ni ccm B waonyeshe kwa vitendo kuwa sio wapokeaji rushwa ila ufuate utaratibu na sio kufuata magezeti ya shigongo. kuwa na valid proof.
 
je should they fire him regardless?.
"should they fire him" kutoka kwenye kazi gani ambayo ameajiriwa na CHADEMA?

kama ushahidi unaweza kuwa wa kimazingira tu. ..Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.
Una hakika kwamba "ushahidi wa kimazingira hauwezi kumfikisha [mtu] mahakamani?"
 
"should they fire him" kutoka kwenye kazi gani ambayo ameajiriwa na CHADEMA?

Una hakika kwamba "ushahidi wa kimazingira hauwezi kumfikisha [mtu] mahakamani?"
Sijakuelewa vyema,ila kama swali lako linalenga kujuwa kama kamati kuu inaweza kumfire,basi jibu ni yes.Kuhusu ushahidi wa mazingira,ni kweli mtu anaweza kufikishwa mahakamani na ushahidi wa kimazingira,swali la msingi kwangu ni kwamba "ni ushahidi gani" ambao utawaridhisha wachukuwa hatua (ndani ya kamati kuu).Hopefully imesaidia.
 
kama kweli ikibinika ni kweli alipokea rushwa hana budi kufukuzwa uanachama na maana wakimtetea tu kamwe nitakuwa na mashaka ya kura yangu 2015 maana itakuwa ni ccm B waonyeshe kwa vitendo kuwa sio wapokeaji rushwa ila ufuate utaratibu na sio kufuata magezeti ya shigongo. kuwa na valid proof.
I aggree with you...
 
Sijakuelewa vyema,ila kama swali lako linalenga kujuwa kama kamati kuu inaweza kumfire
Kum "fire" kutoka kwenye ajira gani ambayo CHADEMA imempa Zitto?

Na kuhusu ushahidi wa kimazingira, mwanzoni ulisema kwamba wote tunajua kwamba ushahidi wa kimazingira hauwezi kumfikisha mtu mahakamani, kitu ambacho si cha kweli

However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu, Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani
 
Kum "fire" kutoka kwenye ajira gani ambayo CHADEMA imempa Zitto?

Na kuhusu ushahidi wa kimazingira, mwanzoni ulisema kwamba wote tunajua kwamba ushahidi wa kimazingira hauwezi kumfikisha mtu mahakamani, kitu ambacho si cha kweli

Pengine una matatizo ya kuelewa,kukariri kuna uzuri wake only sometimes.Huwa napata shida ya kujadiliana na kuwaelewa watu wenye kukariri.
 
Naona unaenda below the belt, nilikuwa nakustahi lakini naona ustaarabu umekushinda.

Mushi, exposure yote hiyo uliyopata miaka enda rudi mpaka leo hujui kwamba ku "fire" ni kwenye ajira tu? Matatizo yale yale ya kuishi kwenye ma "immigrant communities," unabaki hivyo hivyo kama ulivyokwenda. "Should CHADEMA fire," kwani Zitto ameajiriwa uanachama CHADEMA? Usilete vituko hapa.
 
oh!unataka above the belt na uelewa huu?ok then,unaibu katibu mkuu ni wewe umemwajiri.We either ni mtoto ama akili yako ina uwezo mdogo wa kuelewa.Pia usipende kukariri,wee umeishi wapi?Yes Zitto can be fired by his party,kama huelewi potezea nenda kwenye viwanja vyako.
 
oh!unataka above the belet na uelewa huu?"
Above the belet ndio nini? Yale yale ya kujikita kwenye ma "immigrant communities," unabaki kama ulivyokwenda, miaka ishirini!

ok then,unaibu katibu mkuu ni wewe umemwajiri.
Kwa hiyo wakim "fire" ukatibu wa chama na ubunge inakuwaje, anabaki au? Kwa hiyo hoja yako hapa ni kuhusu Unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, sio ubunge wake, ambako ndio allegedly kumetokea matatizo? Then it becomes a very parochial subject, the issue is in Parliament, not within CHADEMA! Chama hakiwezi kum "fire" mtu ubunge! CUF couldn't, NCCR couldn't.
 
hiyo ya belt ni typo acha ujinga,na ninakuhakikishia sina uwezo kabisa wa kukuelewesha.Samahani sana,I can't.Uelewa wako ni very low,samahani.
 
Zitto pole sana, anyway unaweza kusema unaonewa ni sawa. Ila kumbukumbu zangu zinaonyesha uliwahi kuwa na mawasiliano ya muda mrefu sana na Rostam, na mwanahalisi liliansika kwa uwazi na hukuwahi kukanusha.

Rostam baadae alienda voda na kumtafuta aliyetoa data. Hii binafsi inanionyesha wewe ni wa mlengo usiojulikana.

Kwa hili nashauri ufukuzwe maana ni hatari sana ndani ya chama na taifa kwa ujumla.

Unaongelea mwanahalisi la Said au mwanahalisi lingine. Inabidi uwe makini na vyanzo vyako vya habari vitakufanya uonekane mzandiki wakati mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom