Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Mkuu wangu PakaJimmy unaangalia zaidi maslahi ya chama ikiwa Zitto kavuta kitu kidogo kwanini asitimuliwe ?.CDM bado haijashika dola wanakuwa waoga hii ni dalili mbaya mbona Kafulila alitimuliwa Zitto inakuwa taabu.
Na hakika inatakiwa iwe hivyo ili kuweka maadili na miiko na pia kuonyesha njia mbadala tofauti na ile tuliyozoea miaka 50 sasa.

Kinachotakiwa ni ushahidi usio na mashaka kwasababu CDM wanaweza kufanya jambo jema kwa nia nzuri lakini likatumika kama 'kombora' kuwaangamiza.

I am trying to read the political atmosphere at the moment.
Lazima uwepo ushaidi wa kutosha usio na mashaka!
 
ikibainika kweli amehusika kwenye hili atakuwa amewavunja moyo wengi CDM itabidi imwondoe ingawa bado naamini kauli yake
 
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,

Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?

Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.

This issue is subject to credible investigation for that matter! not public opinion, kangaroo courts are not the best way to judge people on matters of such gravity. lets be fair to ZZK! he has committed no crime unless and untill it is proved beyond a shadow of doubt, period.
 
jmushi1 IMO firing Zitto is not a solution pertaining the many issues occurring within and between parties in relation with the man (Zitto); CDM just has to reconstruct themes afresh – from bottom to the top. Of coz sasa wana CDM at the moment wanaona kama vile akina Mnyika, Nassari et al ndio wa ukweli... but wakumbuke hao ni wanchanga kwa Zitto, na wakumbuke pia hivo ndio exactly Zitto alikuwa. Hivo kumachia may not be of a good soln.

Zitto is a problem, it may seem chronic thou on my perspective not that chronic. He is still of importance and significance for CDM. What really matters is how is his reaction towards the whole escapade plus his attitude towards the party and fellow leaders. That I would say is a determinant of steps/decisions of what should be done.
 
Last edited by a moderator:
Ikithibitika pasipo shaka Zito kaomba au kala mulungula basi hana budi kwenda nccr mageuzi kugombea urais
 
acha tu ,sijui m4c team itawaambia nini watanzania....sijui nape atafoa sadaka kubwa kiasi gani ...sipati picha

sioni kama ccm inalo la kutamba dhidi ya hii kashfa, kamati hizi zina more than 80% from ccm, na ni wangapi bado ni wabunge wa ccm japo ni wabadhilifu wa kutupa, hawa akina ngeleja, maige, nundu ni watu ovyo kabisa lakini bado wanaendelea na madaraka kama wabunge, natuma kwa chadema ni kibanzi tu wakati kwa ccm ni boriti kabisa.
Ivyo nape hatakuwa na jipya zaidi aendelee kukisafisha chama chake ambacho ni kichafu kupindukia, lakini zito akidhihirika basi hatua staili zichukuliwe, kwani yeye hayuko juu ya chama, na akinusurika haache papara, suala la kugombe uraisi alitangaze ndani ya chama na si kokote ata mchikichini market, zito tulizana
 
Naoana kama kweli,akipita kwenye hili basi hata huo urais nadhani itakuwa si mbaya akiufikiria.Tatizo naloliona hapa pia,ni kama alikuwa anahisi hii kashfa inakuja?
inawezekana jamaa hili swala lake la urais aliichomekea ili ikija hii kashfa isiwe na mashiko
 
Hapo hakuna mjadala fukuza bila woga kwani Watanzania waipienda CHADEMA kwa kuwa inapinga ufisadi na wanaichukuia CCM kwa sababu wanalea mafisadi wala si kwa sababu ya itikadi au sera
 
Ni ZZK ndio anachunguzwa peke yake ndani ya Chadema? Dr Slaa anasema mbunge atakaepatikana kahongwa atachukuliwa hatua na kamati kuu ya Chadema, kwenye mambo ya rushwa na ufisadi yanayotea ndani ya serikali Dr Slaa uwa anataka iundwe tume huru kuchunguza lakini kuchukunguza ufisadi ndani ya Chadema Dr Slaa anataka wajichunguze wenyewe kwa nini Dr Slaa na wenzake wasiunde tume huru kuliko kuachia wabunge wa Chadema wajichunguze wenyewe.
 
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,

Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?

Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Itakuwa ni kuingilia uhuru wa kikao kitakachofanyika
 
Itaniuma sana kama itadhibitika kwamba kachukua kitu kidodo.Siasa siipendi siku hiyo nitaichukia daima.Ni mwanasiasa kijana nampenda ila itabidi aondoke tu.
 
[h=2]Tweets[/h]

now Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@simwiya nitasema yote kesho

View conversation





now Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
Kesho Nitazungumza na waandishi wa Habari ofisi za Bunge Dar Es Salaam kuanzia saa tano asubuhi. Kuendelea kukaa kimya ni silaha kwa adui.

Expand





now Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
Nimetaka chama changu kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi.

Expand





now Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
Kwa masaa 3 nimejieleza mbele ya sekretariat ya chama kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yangu. Niliomba kutaka kutoa maelezo kwa katibu Mkuu
 
Itakuwa ni kuingilia uhuru wa kikao kitakachofanyika

Mkuu hapa ni JF,mambo ya chadema peleka kunakohusika ie makao makuu etc.Hatuingilii kikao kwasababu hatuna ushahidi wala hatuwezi kumuhoji Zitto,sana sana alisema ni siasa za maji taka na mbinu dhidi yake kwenye mbio za urais.Anaweza kuja hapa na kufafanua akitaka.Otherwise tafuta hoja yenye mashiko na uisimamie badala ya kuja na kauli hii imekaa kama ya TISS lol!
 
Inawezekana ushahidi wa kimazingira usipatikane, kwa sasa, na bado kama Zitto ni mkosa akaendelea kuwa mkosa. Mtu pakee anayejua kama kapokea au hakupokea rushwa ni Zitto mwenyewe, na kama ni muungwana (hata iwe kwa kuteleza tu), anapaswa kujiuzulu. Ataheshimika zaidi na kukijengea CDM heshima kulikoni kubakia hapo mpaka aje kupopolewa kwa mawe ili atoke.
 
CDM ikimfukuza Zitto basi chama kinakufa. Zitto peke yake ndio mwenye msimamo,wengine wote ni makaragosi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom