Short course gani ilibadili maisha yako?

Acheni kudanganyana.....shoti kozi ya kubadili maisha.....ni kujifunza namna ya kuchukua hela kutoka mahali zilipoifadhiwa..........hapo maisha yatabadilika!!!
Mambo ya kusoma ni kupoteza mda na kuomba kuajiriwa ili muwe watumwa...!!!
Jifunzeni udukuzi wa pesa...!!
Mkuu ma Dili yako ni konki Sana 😂
 
Wakuu ivi Short course ya Data analysis SPSS STATA RA inamashiko kweli msaada kwa mjuzi
Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student

Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati nipo chuo mwaka watatu kusema kweli nilipata pesa ya kutosha kupitia wanafunzi wenzangu pia iliniwezesha kunipatia ajira yangu ya kwanza

Mwisho kabisa lkn sio lazima ukiwa data analytics inabidi uwe na uwezo wa kuandika finds mbali mbali hii itakusaidia sana kupata kazi
 
Naam mkuu Shukrani umetufungua macho kwa maelezo yako mazuri, Pia unaweza toa ushauri hata kwa short kozi nyingine pia kutokana na experience yako
 
Sema kama ni shot course haina shida , Ila kama ni degree umepiga Zako bam pekee , ukweli utakuwa umeyakanyaga
Asee kiukweli nashukuru kwa muongozo mkuu si unajua tena kuuliza ni muhim watu walokutangulia wakupe mrejesho
 
Back
Top Bottom