Native diaspora
Senior Member
- Nov 19, 2020
- 134
- 196
- Thread starter
- #81
Kumbe naweza nikayakanyagaSio hesabu Tu kuna code's ambazo zinahuitaji wa algorithms, Mzee inabidi upambane haswa
Kumbe naweza nikayakanyagaSio hesabu Tu kuna code's ambazo zinahuitaji wa algorithms, Mzee inabidi upambane haswa
Ni kukomaa tu mpaka kieleweke.Naam mkuu nipo matosa napakia Kokoto na mchanga na wahuni hakika sikosi ya kula, kwa graundi mambo magum sana
Mkuu ma Dili yako ni konki Sana 😂Acheni kudanganyana.....shoti kozi ya kubadili maisha.....ni kujifunza namna ya kuchukua hela kutoka mahali zilipoifadhiwa..........hapo maisha yatabadilika!!!
Mambo ya kusoma ni kupoteza mda na kuomba kuajiriwa ili muwe watumwa...!!!
Jifunzeni udukuzi wa pesa...!!
Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, StudentWakuu ivi Short course ya Data analysis SPSS STATA RA inamashiko kweli msaada kwa mjuzi
Naam mkuu Shukrani umetufungua macho kwa maelezo yako mazuri, Pia unaweza toa ushauri hata kwa short kozi nyingine pia kutokana na experience yakoNdio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student
Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati nipo chuo mwaka watatu kusema kweli nilipata pesa ya kutosha kupitia wanafunzi wenzangu pia iliniwezesha kunipatia ajira yangu ya kwanza
Mwisho kabisa lkn sio lazima ukiwa data analytics inabidi uwe na uwezo wa kuandika finds mbali mbali hii itakusaidia sana kupata kazi
Liver vs forest = Liver win and over 2.5 i lostBetting...
Ipo vipi hii masterTechnician for Africa Certification..
Multimedia Technology and AnimationKozi gani mkuu wangu
Sema kama ni shot course haina shida , Ila kama ni degree umepiga Zako bam pekee 😂, ukweli utakuwa umeyakanyagaKumbe naweza nikayakanyaga
Nilijua mkuu, niskia hili dude ni balaa full fursa iwe kujiajiri au kuajiliwa ni lamotoMultimedia Technology and Animation
Asee kiukweli nashukuru kwa muongozo mkuu si unajua tena kuuliza ni muhim watu walokutangulia wakupe mrejeshoSema kama ni shot course haina shida , Ila kama ni degree umepiga Zako bam pekee , ukweli utakuwa umeyakanyaga
Shukrani sana mkuuNenda hapo nit, chukua driving full course, utakula Maisha Kuliko wengi wenye degree
SanaNilijua mkuu, niskia hili dude ni balaa full fursa iwe kujiajiri au kuajiliwa ni lamoto
Kweli mkuu na Mungu anablessFundi halali njaa😂
Dah ndo hvyo kaka muda mwingine mambo hayaendi tunavyoplanHongera mkuu maaana tunajifunza, wengine tunawaz bora tusingekula gamba la PETROLEUM CHEMISTRY
Unatafuta cheti au ujuzi? Km ujuzi huhitaji kwenda darasaniMkuu hii naipata wapi kuna kipindi walikuwa wanaitoa pale udom saivi naona kimya....nataka kuipiga hii kitu
Hii short coz inacost bei gani mkuu wanguMultimedia Technology and Animation