Shoga fisadi

arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,285
584
Mambo wana JF,
waugwana na jambo linanisugua roho mpaka nakosa usingizi,
kuna mdada amechukua mume wamtu juu yakua anajua kama anamke na watoto na yeye ni mkristo huyo mdada,
kwakua ndoa hakutualika alijua kua tutajua ukweli sababu mume alomuoa tunamfahamu na mke wa huyo bwana ni rafiki yetu sote,

Alivyokua mjinga akamtumia sms mwenye mumewake kua 'Mumeo kaowa na shogako kipenzi anajua anakucheka na jina kanitaja,
Mwenye mume kanipigia cm kuniuliza kama kweli mumewe kaoa na alomuowa ni mmoja ktk mashoga zangu, bahati nzuri sijamjibu mumewake
akawa amefika akanambia tutaongea baadae.
Haijachukua mda yule mwizi wa mume wawatu mamake akanipigia cm akanambia mwanangu mke mwenzie hajakupigia cm?
nikashanga ndio nikajua kama walimtumia sms manake anataka ajulikane kama na yeye mke wapili,

tatizo langu waingwa ukweli nikwamba huyu bint kaolewa na huyo babu mwenye miaka 51 na watoto 6,
huyu mwenye mumewe akinipigia nimueleze ukweli au nijikaushe kama siyajui lakini iko siku atajua kama nilikua najua manake mumewe
anajua kama najua na anajua kama sikupenda ndio mana huyo msichana hakunialika kwenye harusi wanajua kama mm na mke wa
huyo bwana tunafahamiana sana na ni wangazija wote ukweli roho inaniuma sana sijui nifanye nn......
 
Naimani dunia haitendi uonevu amin kama umeolewa kinacho mkuta huyo mwenzako na ww kitakukuta2. pili ukweli ndio njia sahh ya kufanya ila kabla ya kuutoa angalia mazingra ya kumwambia. 1.kama anapresha au gonjwa lolote hatari usimwambie wakati anauliza ila mwambie wakati mnacheka kwa mazungumzo mengne. fanya hvyo kabla hajajua coz utashushwa thaman kijinga na utaingzw ktk chuk za kifamilia ambazo hazikuhust
 
mwambie haraka kabla hajavunja iman yake kwako! Atakuona umemsaliti,umeshiriki kumficha hayo maki2.
 
Pole mamii kweli kazi ipo hapo jitahdi umueleze ukweli huyo shoga ako maana akipeleleza mwenyewe akajua kweli hatakuelewa kamwe.
 
Naimani dunia haitendi uonevu amin kama umeolewa kinacho mkuta huyo mwenzako na ww kitakukuta2. pili ukweli ndio njia sahh ya kufanya ila kabla ya kuutoa angalia mazingra ya kumwambia. 1.kama anapresha au gonjwa lolote hatari usimwambie wakati anauliza ila mwambie wakati mnacheka kwa mazungumzo mengne. fanya hvyo kabla hajajua coz utashushwa thaman kijinga na utaingzw ktk chuk za kifamilia ambazo hazikuhust
kanitumia sms anakuja nyumbani leo kufturu kwetu ndio kanichosha kabisa sasa hapo kazii nnayo.
 
Maadam mwolewaji kakutaja wewe?unaona shida gani kumwambia muhusika? we mwambie ajue ajipange vipi na maisha haya ya sasa
 
saas hicho kibabu chenye 51 kinaoa kinatafuta nini? waweza kuta hata issue haifanyi kazi tena basi tuuu ubazazi hahahahaha
 
Mambo wana JF,
waugwana na jambo linanisugua roho mpaka nakosa usingizi,
kuna mdada amechukua mume wamtu juu yakua anajua kama anamke na watoto na yeye ni mkristo huyo mdada,
kwakua ndoa hakutualika alijua kua tutajua ukweli sababu mume alomuoa tunamfahamu na mke wa huyo bwana ni rafiki yetu sote,

Alivyokua mjinga akamtumia sms mwenye mumewake kua 'Mumeo kaowa na shogako kipenzi anajua anakucheka na jina kanitaja,
Mwenye mume kanipigia cm kuniuliza kama kweli mumewe kaoa na alomuowa ni mmoja ktk mashoga zangu, bahati nzuri sijamjibu mumewake
akawa amefika akanambia tutaongea baadae.
Haijachukua mda yule mwizi wa mume wawatu mamake akanipigia cm akanambia mwanangu mke mwenzie hajakupigia cm?
nikashanga ndio nikajua kama walimtumia sms manake anataka ajulikane kama na yeye mke wapili,

tatizo langu waingwa ukweli nikwamba huyu bint kaolewa na huyo babu mwenye miaka 51 na watoto 6,
huyu mwenye mumewe akinipigia nimueleze ukweli au nijikaushe kama siyajui lakini iko siku atajua kama nilikua najua manake mumewe
anajua kama najua na anajua kama sikupenda ndio mana huyo msichana hakunialika kwenye harusi wanajua kama mm na mke wa
huyo bwana tunafahamiana sana na ni wangazija wote ukweli roho inaniuma sana sijui nifanye nn......

Mmmm hilo kabila ni nooooma. kwa yale mambo yetu yaleeeeee..........
 
Back
Top Bottom