Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,284
- 105,515
Kwa takwimu hizo ni hatari sana ni bora kujiadhari sana!
Ni vyema tukajadili takwimu n mustakabali wa afya zetu!
Hakuna kosa lolote hapo la kimaadili.
Kusema watu6 kati ya 20 wameathirika? Hii ina fanyika kila leo tena hizi takwimu wakati mwingine zina taja hata jina la kituo!
Yeah, mwishowe ukifuatilia sana hii argument yako utasema hata akija mtaani kwako na kusema "watu 4 kati ya 6 wanaokaa nyumba hii wameathirika" itakuwa sawa tu. Maana hajataja majina.
Logic ni ile ile tu.
Watu wanaofikiri lack of privacy na compromising medical ethics ndio jibu la kushinda UKIMWI hawajajua athari za lack of privacy katika zoezi zima la upimaji virusi, na implications zake katika vita dhidi ya UKIMWI.