Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

Naomba ushauri Hali imenitokea ghafra juzi coz ndo mara yangu ya 1 nikapimwa presha 154/93 nikapewa dawa jana nimeenda wanasema bado 150/91 je niendelee kutumia dawa na nipumzike mda wote na niendelee kupumzika?
Mkuu una miaka mingapi wewe ? Angalia chini hapo Umri wako na Kiwango gani cha Presha unachotakiwa uwe nacho .

MARADHI YA PRESHA KWA UMRI WAKO.jpg
 
Mkuu nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148/121 kama dakka 5 doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135/95 je inaweza kuwa machine hiyo mbovu au laa?
 
Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima
pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu
 
Mkuu una miaka mingapi wewe ? Angalia chini hapo Umri wako na Kiwango gani cha Presha unachotakiwa uwe nacho .

View attachment 342594
Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu? Make nipo njia panda mkuu!!
 
Nina miaka 30 kwa jana nimeenda hospital tena kucheck jioni presha ikawa 148 /121 doctor akashangaa kama dakka5 akaja doctor mwingne akanipima pale pale majibu tena 135 /95 sasa wakasema nirudi leo please naomba ushauri kuwa je machine inaweza kukosea majibu? Make nipo njia panda mkuu!!
Mashine inafanaya kazi ila Presha yako inashuka na kupanda hiyo Presha yako nenda tena kamuone daktari
 
Kaka mzizi naomb unijuze mtu mwenye blood pressure ya kupanda anaruhusiwa kula vitu hivi viazi vitamu asali sukari kiasi kidogo mayai na maziwa au haruhusiwi kabisa ntadhukuru
 
Habari wataalmu wa jukwaa,

kwa muda kidogo iligunduliwa na tatizo la hypertesnion pressure yangu in above 150/110 nikaandikiwa dawa nifedipine na hydralizine baada ya kuanza kutumia hizi dawa nili notice kitu kuwa zinanisababishia erectile dyfunction kila nikinywa muda mfupi kabla ya kukutana na mpenzi wangu basi sitaweza siammisha au uume utasiamama ukiwa legelege sana. Nilijaribu kumueleza dokta kuhusu hili suala ili anibadilishie dawa akajibu side effect ni ndogo kuliko faida niendelee kutumia.

ila kwa upande wangu nilipenda kubalidilisha hizi dawa nitumie ambazo hazina madhara kwangu, kama kun adaktari anaweza ku recommend combination aya dwa zenye less side effects.

Shukran,

CC Dr. Sajjad Fazel
 
Mkuu hii ni dawa ya kkmagharib au mitishamba
Mkuu Shalet..,

Miaka 10 iliyopita, nilipimwa nikakutwa na high b /pressure, nikapewa dawa za "kidhungu ".. Sikuzitumia dawa zile..

Niliamua kubadilika kabisa.., nilipunguza kula wanga, nyama na hata ratiba ya kula nilibadilisha kabisa. Nilianza kula mara 2 kwa siku.., asubuhi na mchana.., mwisho wa kula light dish ni saa 1 jioni. Niliamua kuanza kutembea zaidi kuliko kutumia gari ktk kufanya shughuli za siku.

Lakini zaidi sanaa.., ktk milo yangu na juices, nilianza kutumia VITUNGUU, na VITUNGUU SAUMU vibichi.., asali, Aloe Vera, manjano, na Tangawizi kwa wingi.

Namshukuru Mungu sana kwa uamuzi niliofanya.., hata wife ana ni enjoy sanaaa...
 
Amlodipine kwa sasa sio nzuri sana, wataalamu wamekuja na toleo ambalo linakuwa na combination moja tu ya "S" ambayo inaitwa "S-Amlodipine" hii inakuwa na effect ndgo kulingansha na "Plain Amlodipine"

na kwa ishu ya kupata ED nakushauri tafuta dawa ambayo ina combination ya "S-Amlodipine + Hydroclozyed" hii hydroclozyd itakufanya ukojoe sana kupunguza chumvi mwilini na kuachia mishipa ya damu...

NB: heri kutumia dawa za matunda au viungo kama kitunguu swaumu, haya madawa ya dukani sio ya kuyaamini sana.

kila la kheri chief.
 
Mimi namshukuru Mungu wangu huu ugonjwa umeniepuka baada ya kunitesa kwa kumeza madawa kwa takribani miaka mitatu,Kilichonisaidia ni Kula matunda ,fanya mazoezi hasa ya kutembea kila siku si chini ya nusu saa,acha kula vyakula vyeye mafuta mengi,punguza uzito wako,acha nyama nyekundu,kutotumia chumvi,kukaa mbali na stress za dunia hii hasa hasira zisizo na maana but above all kuwa karibu na Mungu wako kwa maombi na sala maana bila ya kumkaribisha roho mtakatifu ndani yako hayo yote hapo juu hutaweza kuyafanya..Na usiache kupima pressure as many times as you can kwani kupima mara kwa mara angalau mara moja kila wiki kulinisaidia kuifuatilia mpaka ilipokuja kuwa normal...
 
Back
Top Bottom