Naomba kujuzwa ni dawa gani nzuri ya asili hushusha shinikizo la damu?

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Wana jf kwa yoyote anayefahamu dawa ya kiasili ya kushusha shinikizo la Damu anijuze, iwe matunda au vyakula vyote sawa tu.

Asanteni.
 
Punguza wanga, nyama, bia nk fanya mazoezi hata ya kutembea at least 2 km per day .

Tumia vitunguu saumu, habati soda nk
 
Punguza wanga na sukari. Tumia protini na fats, mboga mboga na matunda yenye sukari kidogo.

Tumia unga wenye low carbs kama wa mbegu za maboga, unga wa almond ikiwezekana na korosho kuandaa mapishi yako.

Tumia mafuta ya kupikia sahihi...try using coconut oil, samli, mafuta ya wanyama...n.k yana high heat resistance. Yakipikiwa kwenye joto Kali hayatengenezi vimelea vya simu (free radicals) vinavyoudhuru mwili sehemu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom