FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Mwanzisha mada anaweza kuwa hajaridhika kwa sababu malengo yake, kama alivyoyaelezea kwenye bandiko lake, hayajatimia kupitia shindanio hili. Lakini pia inabidi tuangalie walioanzisha shindano hilo walikuwa na malengo gani. Labda hawakulenga kudumisha muziki au ngoma za asili
mwanzilishi ameona mbali sana sana halina mantiki yoyote .....mnie nilipoona mara ya kwanza nikabakia kushangaa shangaa
vitu vingine ni kupoteza muda kuviangalia.....watu sio wabunifu nimeona vipindi kama hivyo vinaonyeshwa SABC 1,SABC 3,na Huko kwenye Pop Idols Uloyo wanajaribu kucheza style tofauti kama Salsa ,Charanga na nyinginezo na zinakuwa well trained ...
hii serebuka yetu sijui imetoka wapi na haina ubunifu hata kidogo