Shindano la Serebuka TBC1.. Ni utumwa mambo leo au Ujasiriamali??

Mwanzisha mada anaweza kuwa hajaridhika kwa sababu malengo yake, kama alivyoyaelezea kwenye bandiko lake, hayajatimia kupitia shindanio hili. Lakini pia inabidi tuangalie walioanzisha shindano hilo walikuwa na malengo gani. Labda hawakulenga kudumisha muziki au ngoma za asili

mwanzilishi ameona mbali sana sana halina mantiki yoyote .....mnie nilipoona mara ya kwanza nikabakia kushangaa shangaa
vitu vingine ni kupoteza muda kuviangalia.....watu sio wabunifu nimeona vipindi kama hivyo vinaonyeshwa SABC 1,SABC 3,na Huko kwenye Pop Idols Uloyo wanajaribu kucheza style tofauti kama Salsa ,Charanga na nyinginezo na zinakuwa well trained ...
hii serebuka yetu sijui imetoka wapi na haina ubunifu hata kidogo
 
Naomba jamani mseme ni kipindi gani TBC ni educative kwa mtanzania??? TBC wana vipindi vya ajabu juzi naangalia kuna kipindi kinaitwa I mean I dont see ni jinsi gani mtanzania atafaidika kwa kuangalia serebuka, chereko, maisha plus, vunavuna time yaani ni watu wajanja wamehijack air time at the risk ya watazamaji. Tunahitaji vipindi jinsi ya kuwa mjasiriamali, haki za uraia, demokrasia etc. In short vipindi vya TBC havina tija kwa mtanzania sana sana vinamdumaza.

Hivi bodi ya TBC imeliona hilo?
 
wanaosema hiki kipindi ni copy and paste
angalau nawaelewa na nakubaliana nao.........

tatizo la vipindi hivi vya copy and paste ni kuwa ni ngumu kuweka
mambo yako mengine bila kuharibu format........

kwa yeyote aliewahi kutazama" dance with stars"
wala hawezi kutokielewa kipindi cha selebuka........

ni kama american idol na bongo star search.........

Mkuu hapo kwenye red ni aje mkuu wangu?
Yani hata kutoa salsa na kuweka sindimba itaharibu fomart? au ukiweka muziki wa dance utakuwa ushamba?

naona hawa wame-cut na ku-paste sio copy tena hiyo!!
 
mwanzilishi ameona mbali sana sana halina mantiki yoyote .....mnie nilipoona mara ya kwanza nikabakia kushangaa shangaa
vitu vingine ni kupoteza muda kuviangalia.....watu sio wabunifu nimeona vipindi kama hivyo vinaonyeshwa SABC 1,SABC 3,na Huko kwenye Pop Idols Uloyo wanajaribu kucheza style tofauti kama Salsa ,Charanga na nyinginezo na zinakuwa well trained ...
hii serebuka yetu sijui imetoka wapi na haina ubunifu hata kidogo
Unajua saa nyingine unaweza kuangalia kitu na usipate kufahamu chochote na mwingine akaangalia akapata chochote mathan akaburudika na ndiyo alokuwa akiitafuta. sasa kama hujui unatafuta nini katika kipindi fulani muda fulani unaweza ukaboreka kabisa...you may be right in the wrong place and time.... and you may be wrong in the right place and time... and you may be right in the right place at the right time. Nadhani kipindi ni kwa ajili ya burudani na hata jina linajitosheleza..serebuka... sasa kama utakwenda kuangalia wakati huhitaji kufurahi hutaweza kufurahi...you need to set your minds first... Nadhani kipindi ni kizuri na inaleta changamoto mbalimbali za ubunifu katika kucheza, mavazi nakadhalika... Kama wewe ni mtu wa discovery kila wakati wala huko kwenye serebuka usiende maana utalaani muda wako utakaotumia kuangalia hicho kipindi.....
 
hii sredi inazihilisha kwamba watanzania wengi wanamiliki TV sasa. (hongera mheshimiwa kikwete)
 
Nanu umenichekesha mwenzio ....sina la kuongezea hapa
 
hii sredi inazihilisha kwamba watanzania wengi wanamiliki TV sasa. (hongera mheshimiwa kikwete)

Kama vile wengi tunavyomiliki magari na kukaa barabarani asubuhi masaa mawili na jioni masaa mawili. Klorokwini hayo ndo maendeleo kweli. Tuna Tv hatuna umeme , tuna Tv hatuna vipindi vya kwetu 90% ideas za nje. Jamani TBC sio ya kuburudisha tuu ni pamoja na kuelimisha na kutangaza utamaduni na utaifa wetu. Ona wenzetu wanavyotangaza nchi zao ndo maana BBC, VOA, DEUTCHWELLE, CFI huwezi ona wanatukuza nchi nyingine.Kama TBC wana hela waweke TBC2, 3, 4, mpaka 10 halafu waweke muziki 24/7 hakuna atakayelalamika.
 
kama sasa tunakoelekea kwenye uchaguzi mkuu walitakiwa waandae vipindi vinavyoelimisha madhara ya kuchagua viongozi waongo,wapenda rushwa ,walitakiwa watoe vipindi vinavyoelezea faida za kupiga kura.mambo ya ujasiriamali ,Kilimo kwanza na mangineyo sio kutuwekea sisi serebuka tunaserebuka na nini...
wacheza serebuka wenyewe huwa tunawaona kwenye movie .kina kabula,Kojack ,wengine sijui kina Mmela Ijumaa handsome boy ..
 
You couldnt have said better, FLNjaa, malaria, utapiamlo, umemployement halafu unaserebushwa ta TV ya taifa tumelogwa au ni laana. Isije ikawa ni makusudi ili tusahau matatizo yetu
 
nadhani A+ B yote ni sawa..
Akili zetu zimesinzia fofofofofof .siku zikiamka ndo kiama
 
Naona kama akili zetu zimepewa nusu kaputi huko sio kusinzia na ili upewe nusu kaputi lazima wewe usaini au nduguyo, ni nani alisani tupewe nusu kaputi hiyo bila ridhaa yetu? Na huyu mtu wa nusu kaputi inaelekea katuoverdose ni lini tutaamka? Hilo ndo swali la msingi.
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni ujasiliamali zaidi. kinachoendelea pale ni biashara kama biashara zingine, wadhamini+sms-ml 25 &other expenses=faida nono.kwa fomula hii nadhani si sahihi kuita ufinyi wa mawazo, inawezekana katika utafiti wao waliona aina hizo za muziki ndio zinauzika zaidi kwa shindano lao na mjasilimali yupo kifaida zaidi ilimradi hajakiuka maadili. wakati mwingine si kila kitu lazima kielimishe tu kinaweza kuwa kuburudisha tu bila kuvunja maadili hasa swala lenyewe linapokua kibiashara. mjasiliamali hutumia fulsa zilizopo kisheria kutafuta faida na si vinginevyo. swala la kuelimisha au la litategemea fursa yenyewe imekaaje, Tz fursa zipo nyingi tatizo akitokea mtu akazitumia basi nikukosoa, kama wewe umeona una idea nivizuri ukafanya badala kusubiri kitu kikianzishwa ni kupiga madongo tu. mimi nakubaliana na wanao sema TBC inamatatizo yake kimsingi kama TV ya taifa. Naomba ieleweke kuwa wale jamaa wamenunua air time TBC kwaajili ya kufanya biashara ingawa najua watu wengi wanategemea TBC inapaswa kuonyesha vipindi vya kitaifa zaidi badala ya kuuza air time kwa wajasiliamali wakafanya watakavyo nakubaliana na hilo tatizo si waadaaji tatizo ni TBC
 
wanaosema hiki kipindi ni copy and paste
angalau nawaelewa na nakubaliana nao.........

tatizo la vipindi hivi vya copy and paste ni kuwa ni ngumu kuweka
mambo yako mengine bila kuharibu format........

kwa yeyote aliewahi kutazama" dance with stars"
wala hawezi kutokielewa kipindi cha selebuka........

ni kama american idol na bongo star search.........
Dance with stars hapo ina kuwa kuna mmoja mjuzi na mwingine hajui ila star kwenye fani yake like soccer etc.
sasa hapa kwenye selelebuka/serebuka wooote zero kabisa ndo tatizo linapokuja hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom