SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

Shilole! Next time ukitaka ongea na press jiandae na jihoji utachoenda sema. "mwaka jana mambo hayakuwa mazuri ila mwaka huu pesa c tatizo" haina muunganiko, afu unamtaka mwenye pesa tu! then what? Pesa itakutesa. Tukueleweje sasa. Learn from the rest who are at rest in peace. Makubwa!
 
MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
“Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
“Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers

Angeweka na bei ya shot taim; maana wengine tunaogopa kuoa majambazi
 
Shilole anawawakilisha wengi tu ambao wengine hawasemi ila wanatamani waume wenye pesa! subiri watakuja Shilole ushindwe mwenyewe. Sielewi utatuchuja ili upate mwenye pesa nyingi ama kila mwenye pesa yake anapata uzima mfu.
 
hahahaaa,,,,,,,,,,, c bado yupo na "muiba" nyimbo za magharibi [Timbulo], au wameachana?
 
Bora wengne waseme
c huyu!!!
Inaelekea mbovu
sana
anaachia line
na anamwagwa
eti alikuwa na
barnaba
mara karukia sijui
dogo gani
mara papa sijui
msafiri! Huyu
anauza
af inaelekea hakuna
kitu,make
hata hivyo vitoto
kama vmeweza kung'oa
mmmh namashaka mno
labda tandaleeee
ndo watamfyagilia
mengi anacheki na kiwangooooo!
 
Muongo,
Ukiwa mteja pale kwenye ki-grocery chake komakoma na ukampiga na bia kadhaa unaondoka nae tu mbona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom