SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
“Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
“Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers
 
MSANII wa filamu ambaye pia anang'ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole' ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya. "Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.

"Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha," alisema Shilole.

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers
Yupo kikazi zaidi! lakini kazi ya ukahaba Bongo inalipa sana!
 
Sasa tumueleweje, anatafuta mume au anatafuta mkombozi (Mtu wa kumkomboa katika dhiki alizonazo, regardless kama anampenda)...
Haya mambo ya kupenda kuolewa kwenye mkwanja yamewafikisha wengi pabaya.

RIP Amina Chifupa...
 
Lakini wanawake wa siku hizi wa Bongo wengi wao ndio wanamitzamo kama ya hako kabinti.
Bora yeye kawa muwazi, sio mnafki.
 
MSANII wa filamu ambaye pia anang'ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole' ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
"Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
"Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha," alisema Shilole.

SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers

asa mie siajelewa kitu ki1, anafanya muziki au anauza penzi. Nisaidieni picha yake, simjui mtu huyu na uceleb kaupatia wapi. Kama ni mfanyabiashara wa ngono jadidifu tujue
 
Ana uzuri gani?

cheki humu!!!!! zingatia 3:16, 3:48, 6:14,
Wengine ugonjwa wetu huuuuuuuuuu, anapatikana wapi jamaniiiiiiiiiii?

Msikilize anaongea nini kwenye 5:07, jamanii mimi hoiiiiiiiiiiiiiii

[video=youtube_share;5_qlHwSxsbk]http://youtu.be/5_qlHwSxsbk[/video]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom