Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

huu uzi umenifanya nifurahi sn, ngoja nikachukue grants yangu, ila du KIGOGO et all nouma, watu mnajua baa, halafu mbona baa zimekuwa nyingi zinakimbizana na ukuaji wa huduma za kiroho/makanisa du kweli shetani ana nguvu. jioni njema jamani.
 
hyo mishikaki inaitwa zingaloo, au burusheti, wp mamaa sherii, mutoto ya mubomba, mamaa jack, du wadau mpo wp?
 
tabata kwa wala bata...Alhamis watu wanakesha pale Mpumalanga pub,alafu mbele kuna promise pub pale kwa yule mtoto wa kihehe Edita maHips....siku izi ukitaka kumpeleka mtoto dinner hauitaji kwenda masafa kuna Greenlight kama unapenda mauzo.

Yule bibie wa kihehe kumbe? Mi sijawah kujua...tabata inakuja kwa spidi ya 3.75G

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lilikuwa chimbo la Walevi wengi.

Amaa kube imefugwa kutokana na kaka wa mkubwa kuuawa,ina maana angekuwa mtu wa kawaida ingekuwa biashara kama kawa,da hiyo bar nilikuwa naifananisha na bar za Arusha,ubabe ulikuwa ndiosifa kuu ya wanywaji wa hapo,naona Mungu angekuwa yule wa agano la kale angeifanya Sinza ipigwe na radi na kuifutilia machoni pa dunia kama alivyoifanya Sodoma na Ghomora
 
shikamoo pesa haina jipya nimefika hapo juzi nimeagiza nyama ya mbuzi nimeletewa mifupa mitupu. Nyama yenyewe walikaanga ilihali niliagiza ya kuchoma.
 
Mbona BAA Yenyewe ni kati ya zile zilizochoka Sinza? au sio Shikamoo Pesa ninayoifahamu mm? si Ile amabyao iko Sinza kwa Remi karibu na Art Clinic?
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lilikuwa chimbo la Walevi wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom