Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lilikuwa chimbo la Walevi wengi.
 
Mkuu Tusker Bariiiidi, umeandika ki ushabiki sana, nilikuwepo juzi juzi hapo kwenye promotion ya TBL, Shortly imefungwa lini?
 
Last edited by a moderator:
iko maeneo gani huko sinza ili tuhakikishe kinachosemwsa na mleta mada ni kweli au la, mwenye ufahamu tafadhali.
 
shikamoo pesa pub hahahahahahaahahahahahaahahahahahah aiseee laki si pesa pub hahahahaahah
 
poleni zenu kina tusker na wenzie sie wanywa vinyo hata homu tunakunywa tu kazi kwenu wazee wa bariiiidi na moja moto..
 
Karibu tabata kwenye pub za ukweeeeli kama Oooh yeah pub, italian pub, paris pub na boston
 
Aaaah suzi weeeeeeee..wapi wali nazi,,,,,mbona ntakufa na kiu ya taska mie mtoto wa kihehe....fred usitufanyiemhivi bana watu tumewekeza hapo....
 
italian pub kwa sisi wenye magari ya kubebea takataka tutapaki wapi pale labda nyie wenye bodaboda

Italian pub toka madame zai aende maternity leave imechoka tunajipindua copa cabana..kama popo vile
 
Kiushabiki au kihuzuni? Wangapi ambao Baa zao kumetokea Mauaji lakini HAWAJAKAMATWA tena ya Mtu kufia Bar!

True kaka issue ya shikamoo pesa inaganywa kishabiki sana na polisi wajinga wa mabatini...ila tutarudi tu hatuwezi kukubali bar ifungwe watutenganishe na barafu wa roho wangu wali nazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom