Semilong,
Mkuu hatubishani hapa tunaelemishana. sijasema katiba inasema ni lazima rais aachwe vipindi viwili, Ila inaruhusu vipindi viwili...na tatizo la Urais sio swala la CCM ni swala la vyama vyote. kwa hiyo hoja yenu imesimama kuitazama CCM tu kama vile bado tupo ktk utawala wa Kijamaa ule ule wa Nyerere. JK ni mgombea pekee wa CCM kinachovunja sheria ya Taifa ni kipi?..
Nakuomba unambie au nipe mfano wa nchi ambayo rais wake alipata Upinzani ndani ya chama ktk uchaguzi wa awamu ya pili..Labda tuanzie hapo!
Interested Observer,
Mkuu kama alikuwepo mtu aliyekatazwa... that is exactly nachozungumza mimi.. Huu ni mfumo wa CCM kwamba wanapotaka kiongozi fulani agombee wanawazuia wengine mapema. Ilitokea wakati wa Mwinyi, Mkapa na leo Kikwete kwa hiyo sio jambo la ajabu au linavunja sheria za Taifa ila ni utaratibu wa ndani ya chama hicho..Utaratibu ambao unaweza tokea hata ktk chaguzi ndogo ndani ya vyama kwa mfano wewe na mimi tunaweza taka gombea Ubunge Ukerewe lakini ukafuatwa wewe ukaambiwa mkuu mwachie Mkandara awe mgombea pekee kwa kipindi cha pili na wewe utatazam posibility za chama kushinda uchaguzi kabla ya nafsi yako kwa sababu malengo ni chama kulitumikia Taifa, sisi wote ni wawakilishi tu mbora kati yetu ni yule atakayeleta Ushindi..Nje ya hoja hii sioni mtu ndani ya CCM ambaye anaweza kushinda uchaguzi wala kukabiliana na Ufisadi.. no one can take the bull by the horns!
Maneno haya yasichukuliwe kama kuvunja sheria isipokuwa kama utataka kugombea against mimi jitokeze chukua form bado inaruhusiwa na kama utazuiwa ndipo katiba inapovunjwa. Kupendekeza jina la mgombea pekee ktk awamu ya pili ya rais aliyeko madarakani ni jambo la kawaida kabisa kisiasa na inafanyika kila mahala dunaini iwe Marekani au Zimbabwe!.