Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

si kila jambo linahitaji ushabiki wakisiasa acha ujuha!
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?

Shibuda is another donkey ass
 
Huyu mzee shibuda na miwani yake kama Microscope asubiri 2015 atausikia Ubunge kwenye TV sidhani hata chama cha DOVUTWA kitamkubali, miongoni mwa watu ambao walitakiwa kuishukuru CHADEMA maisha yao yote ni shibuda, angekufa njaa mzee huyu.
.... Kumbe kuna kunasaidiana ili mtu asife njaa CDM :shocked: Hapa naanza kuyakumbuka maneno ya mzee Nyimbo kuhusu suala la mgombea binafsi....
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
hapo kamshambulia wapi? mazuzu bwana! kazi kwelikwweli.
 
Mwaamba Ngozi Daima Huvutia kwake.Nivigumu sana kwa watu wote kuwa Namaadili.Daima wema niwachchache.Shibuda yupo sahihi na huru kuchangia hoja,ila mradi inakubalika kimaadili.Sasa anayempinga Shibuda naona anaupinga uhuru wake.Tusiwachukie watu kwakuwa hatujawaumba sisi,Bali mungu pekee.Tupendane Jamani
 
Wanabodi

Kama kawaida ya John Shibuda kutaka kuonekana anajua kila kitu,amekosoa maneno yaliyosemwa na mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu aliposema nguo ya kuazima haisitiri uchi.

Amesema si neno zuri kulitamka hadharani kwa sababu ni maungo ya siri ya binadamu.Shibuda ameongea hayo bungeni jioni hii akichangia hoja ya uanzishwaji wa kamisheni ya kiswahili ya afrika mashariki

My take!
Kwa nini shibuda huwa tofauti sana na ukweli wanaozungumza wabunge wenzake wa chama chake? Ana ajenda gani?
mkuu nashangaa kwa wewe kumshangaa mtu ambae yupo kazini kwake anatekeleza alichotumwa analipwa kwa ajili hiyo mkuu
 
Kweli kabisa.Kukosoa huko ingalau kungefanywa na spika au from the other parties. lakini huyo jamaa tunaemzungumzia wote tunajua ni mroho. Wa chakula na hata uroho wa kuropoka. Nyumbani kwangu, mimi na spouse wangu tunapozungumzia uroho wa kula tumebatiza neno "uroho" kuwa "shibuda". Maana Mh. Wenje aliwahi ku comment hilo wakati huyu jamaa kahudhuria sherehe ya PM wakati wenzake (CDM) wali i boycot. Ndivyo alivyo-He's commical!
 
hapo kamshambulia wapi? mazuzu bwana! kazi kwelikwweli.

Zuzu ni yule aliyekimbilia Urais halafu umemshinda ambaye hajui hata ni kwa nini wananchi wake ni maskini, pamoja na wewe kibaraka wake
 
Ni methali ya kawaida kabisa na ni kiswahili sahihi, yeye shibuda ndo nguo yenyewe ndani ya Chadema. "Nguo ya kuazima haisitiri ******" mwache ajiandae kujipendekeza nyinyiemu ambako pia 2015 atatoswa.

Mie nilikuwa kilaza mambo ya methali nina hamu kweli kuelewa hapo mnapoweka****** ni nini
 
Kweli kabisa.Kukosoa huko ingalau kungefanywa na spika au from the other parties. lakini huyo jamaa tunaemzungumzia wote tunajua ni mroho. Wa chakula na hata uroho wa kuropoka. Nyumbani kwangu, mimi na spouse wangu tunapozungumzia uroho wa kula tumebatiza neno "uroho" kuwa "shibuda". Maana Mh. Wenje aliwahi ku comment hilo wakati huyu jamaa kahudhuria sherehe ya PM wakati wenzake (CDM) wali i boycot. Ndivyo alivyo-He's commical!

haahaahaaaaa na mie naanza kulitumia leo na spouse wangu.
 
tena TL amelitamka vizuri hilo neno,je km angelitamka kbs kivile si ndo kungekuwa na tafrani humo bungeni.
 
Shibuda ni janga kubwa kwenye kambi ya ukombozi wa Taifa letu. bora arudi magambani ili mwisho wa siku wafe maji wote na yeye akiwemo.
 
Shibuda ni mwanasiasa mkongwe mwenye makeke licha ya kua na umri mkubwa lakini bado anaonesha kua na nguvu kama vijana bungeni.Anatofauti kubwa na wanasiasa wengi ambao mara nyingi wanaendeshwa na misukumo ya vyama,siasa ama mabwana zao,shibuda husimamia haki hata kama chama chake hakipendi yeye kufanya anachofanya,mifano ni mingi lakini hili la jana mh lisu kutoa mifano yenye kutukana ni mojawapo.Binafsi namfananisha mh shibuda kama mesi kwani kokote lazma ang'are.CCM walipo mchakachua lakini kupitia CDM ameweza kutetea kiti chake.Naamini hata akihamia CCJ lazma atashinda na kurudi mjengoni.Hawa ndio aina ya wanasiasa tunao wahitaji nchini licha ya watu wasio na mapenzi mema kuwachukia kwa sababu zao binafsi.Hongera sana Mh shibuda
 
akili za kushikiwa utazijua, yaani mwanaJF kutokota katika zero degree ni aibu sana.

Kuwa mwanaJF ni zaidi ya form six ya kata bana!!=
 
Back
Top Bottom