Shetani naye yumo!!!!!

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,635
3,655
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police
akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona
gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi yameisha,
hatimaye polisi akamuamuru padre waende nae kituoni.
Njiani polisi alimuuliza , umesema wewe ni Mtumishi wa MUNGU, je unabiblia
ndani ya gari, akajibu ndio ninayo, polisi akamuambia ,
pack gari pembeni na unipe biblia. Mtumishi akapaki gari na kumpa biblia
yule polisi,Polisi akasita kupokea, akamwambia Mtumishi 'fungua na usome
Mathayo 5:25-26 "Mtu wa Mungu akasoma ":
"Patana na Mshtaki wako upesi,wakati uwapo pamoja naye njiani: yule mshtaki asijekukupeleka kwa kadhi na kadhi akakupeleka kwa askari,ukatupwa gerezani.
" Amin nakuambia,Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho"
Mtu wa Mungu akampa yaliyo yake kaizari.
Polisi akatabasamu na kusema 'msifanye migumu mioyo yenu".. Enenda kwa amani.
 
Ha ha haaa! Polisi kumbe nao wanazidi kubuni mbinu za kujipatia riziki. Nakushauri mkuu siku nyingine ukitaka kupost thread za kuchekesha kama hizi uzipeleke katika jukwaa la jokes na udaku
 
Asante mkuu nimekusoma!!!
 
Shetani huwa hawamfwati mtu ambaye anafanya uhalifu. Haingii baa wala hawafati wanao mkosea muumba kwa hiyari.

Shetani huwa anawa fata wale ambao wanai chunga mipaka ya uadilifu.

Ho wamo miskitini na makanisani. Wale wanaoweza kujichinga na zinaa na vileo. Hao ndiyo anawapenda ili awapotoshe.

Hpo shetani kamtolesha rushwa mtu wa kitabu cha muumba. Kafanikisha azma yake.
 
ukiwa mjanja utakula kwa maadiko ila subiria hukumu.
 
Back
Top Bottom