Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
- Thread starter
- #141
Shukrani sana Mkuu!Kama kawa kama dawa the bold hujatuangusha. Kama hii ni breakfast lunch sijui itakuaje.
Ila uwe unanitag mkuu kila siku nakukumbusha
Dah sory nimesahau kukutag Mkuu, nakuweka kwenye 'tag list' sasa hivi..