She's single and searching for love

Umeshtukia!ngoja wakuvimbishe kichwa na uto tuvyuma twako unatonyanyua hawakutakii mema hawa ooohh.Nina wasiwasi anaweza kukupiga stop hata ya kuja hapa jf.

Mimi sinyanyui vyuma, ni mwalimu wa gym wa kujitolea pia ni mtaalamu wa TYK.
 
Wapwa na mabinamu, huyu nguli anahitaji ushauri, hatutaki kuja kuleta matunda MOI ukiwa umepigwa kama umegonwa na trekta ya kilimo kwanza, dont say we didnt warn you.
 
Mtoa bandiko nae simuelewi kama kweli unataka kumsaidia huyu dada ungesema yafuatayo anapenda mtu wa aina gani, e.g dini/kabila/utaifa au elimu yake etc.
pia hujaeleza anatoka wapi? ila naona kama ni wa mitaa ya kunako box.
Na mbona contact huweki au umeshamchukua unajaribu kuona kama kuna mfwasi hapa.
 
Wapwa na mabinamu, huyu nguli anahitaji ushauri, hatutaki kuja kuleta matunda MOI ukiwa umepigwa kama umegonwa na trekta ya kilimo kwanza, dont say we didnt warn you.

Hahaha! Ntampelekea na kaserengeti ka baridi na juisi ya pilipili aina ya fanta.
 
Nipatie contact zake tena huyu ndio mzuri hachoki hata mwende asali mwezi/honey moon ya mwezi yeye yuko fit tatizo kidogo kwenye ugomvi anaweza akanikaba ila anyway nitakomaa nae.

YAANI HAPO KILA SIKU UTAKUWA UNAPOKEA KICHAPO
KOSA
ADHABU
Kuchelewa kurudi home
Ngumi kumi na nne
Kuchelewa kupokea simu
Vibao vitano
Kutoka na kabinti kengine
Mateke
Kukutwa na msg ya mahaba
Kabari
Fumanizi
Matege, vifuti na vipepsi vya kumwaga


 
Lakini wanakuwaga watamu hawa mabaunsa!! problem usimuudhi maana kichapo chake Asha Ngedere haoni ndani...
 
YAANI HAPO KILA SIKU UTAKUWA UNAPOKEA KICHAPO
KOSA
ADHABU
Kuchelewa kurudi home
Ngumi kumi na nne
Kuchelewa kupokea simu
Vibao vitano
Kutoka na kabinti kengine
Mateke
Kukutwa na msg ya mahaba
Kabari
Fumanizi
Matege, vifuti na vipepsi vya kumwaga
Ah ah ah ah ah ah...!
 
Huyu acha, akitaka kukupa adhabu anakuacha uingize shaft yako then ghafla anakaza misuri ya msamba....utamwomba radhi mwenyewe!
 
Back
Top Bottom