Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa.

Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material.

Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
 
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa

Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
Wanaume wengi tuna insecurities za hali ya juu.... Wanawake wengi wenye watoto ni washkaji wamekataa kuoa baada ya dem kujifungua..nashangaa humu watu wanawaponda sana masingle-mother wkti 60% ni makosa ya mwanaume..

Juzi juzi tu,Nina ndg yangu kaacha mwanamke mwnye mtoto kisa kasikia story kwa mama mwenye nyumba aliyopanga,eti kamuona mke wake anaongea sana na wanaume mtaani...akamuacha bila kuchunguza...nikabaki najiuliza Alitaka aongee na nyani? Ni Bora kama una insecurities zako umwelezee mwanamke mapema ili asikukwaze.
 
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa

Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
huko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'
sisi huku tarime ukizalia nyumbani yaani kabla hujaolewa unakuwa ume qualify kuolewa second wife na unakuwa ume depreciate na mahari yako inakuwa chini ,hivyo unaweza kuolewa kama mke wa kwanza kwa wale wenye mahari ndogo tu. NB mwenye kutoa mahari ndo mwenye uhalali wa kumiliki watoto
Huku kwetu pia ukitaka uwe na boma kubwa kwa haraka unaoa single mothers wawili chap wenye watoto watatu watatu ,tayari unakuwa na boma lenye watu 9
Wadada kwa anayekusudia kuolewa, ajitunze
 
Ukiamu kukosa Amani OA single mother, Kuna mmja anatako balaa nimekua week naambiwa nimpeleke kusoma private mwanae.

Halafu yeye nimpe Biashara,nikimpima kichwani naona mdaa wowote anadata kwingine.Nilikataa vyote! Tukaiishia hapo.
 
Dah!, kijana ushakula vya uvunguni mwa single mother, hatuna cha kukushauri tena.
 
huko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'
sisi huku tarime ukizalia nyumbani yaani kabla hujaolewa unakuwa ume qualify kuolewa second wife na unakuwa ume depreciate na mahari yako inakuwa chini ,hivyo unaweza kuolewa kama mke wa kwanza kwa wale wenye mahari ndogo tu. NB mwenye kutoa mahari ndo mwenye uhalali wa kumiliki watoto
Huku kwetu pia ukitaka uwe na boma kubwa kwa haraka unaoa single mothers wawili chap wenye watoto watatu watatu ,tayari unakuwa na boma lenye watu 9
Wadada kwa anayekusudia kuolewa, ajitunze
Waambie pia wasionje nyama hata finyango moja maana watapigwa nusu kuuwawa
 
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taïfa

Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuk.
Thread tayari, alooo. Umeona single mothers wamepumzishwa umeona ulianzishe kivingine ili mradi wasemwe tu. Janja janja nyingi wewe
 
huko mnaita single mothers, sisi huku tarime tunaita 'waliozalia nyumbani'
sisi huku tarime ukizalia nyumbani yaani kabla hujaolewa unakuwa ume qualify kuolewa second wife na unakuwa ume depreciate na mahari yako inakuwa chini ,hivyo unaweza kuolewa kama mke wa kwanza kwa wale wenye mahari ndogo tu. NB mwenye kutoa mahari ndo mwenye uhalali wa kumiliki watoto
Huku kwetu pia ukitaka uwe na boma kubwa kwa haraka unaoa single mothers wawili chap wenye watoto watatu watatu ,tayari unakuwa na boma lenye watu 9
Wadada kwa anayekusudia kuolewa, ajitunze
Mkuu kwa kifupi nazikubali mila nyingi sana za wakurya. Ni black and white, hakuna janja janja
 
Ukiamu kukosa Amani OA single mother, Kuna mmja anatako balaa nimekua week naambiwa nimpeleke kusoma private mwanae.

Halafu yeye nimpe Biashara,nikimpima kichwani naona mdaa wowote anadata kwingine.Nilikataa vyote! Tukaiishia hapo.
Mpe biashara mkuu, peleka shule mtoto wake, hutaki pepo mkuu
 
Pole sana ndugu kwa kusemwa vibaya,nina ndugu zangu single mazaz nawakaribisha sana ni watatu kwa idadi,ila mjipange wale naona ni mabogus kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom