Sheria za kupandisha na kushusha bendera ya Taifa izingatiwe na iwe Amri

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Kumekua na mazoea sana katika shule, vyuo, nyumba za ibada, taasisi , mashirika na ofisi za kiserikali na binafsi kwa wale wanaotumia bendera ya Taifa kupandisha na kushusha bendera ya Taifa kimazoea nje au ndani ya muda sahihi.

Pia kumekosekana uzalendo kwa wananchi kusimama wima pale wawapo au wapitapo maeneo yaliyopo karibu na bendera ya Taifa pindi inapo pandishwa au kushushwa jambo hili likiachwa litaondoa uzalendo ndani ya nchi yetu na kuonekana sisi ni wananchi wa ajabu.

Naiomba serikali yangu tukufu kupitia amiri jeshi wetu mkuu kwa kushirikisha vyombo vya ulinzi viwe vya serikali au sekta binafsi kusimamia kwa kina Amri, sheria na kanuni za kupandisha na kushusha bendera katika maeneo yote yanayotumia bendera ya Taifa. Pia mashuleni na vyuoni kuwekwe sheria kali , amri na kanuni za uwajibishwaji wa wanafunzi pale wanapo kiuka amri ya filimbi ya kumtaka asimame pindi bendera inapopandishwa au kushushwa .

Na katika barabara zetu zinazokatisha katika maendeo yote zilizopo bendera ya taifa kuwe na sign board za amri itakayo mtaka mtu au chombo cha moto kusimama pale zoezi la kupandisha na kushusha bendera linapofanyika huku wakishirikishwa vyombo vya ulinzi na usalama kukamata na kuwawajibisha watu wote watakao kiuka Kusimama .

Mwisho kabisa naiomba serikali ipige marufuku nguo au vitambaa vyovyote / mavazi yeyote yasiyo rasmi yanayotengenezwa kwa mfano wa bendera yetu ya Taifa na kuzagaa nchini .
 
Eti na wewe msomi! Shithole!
 
Tubadilike, haya mambo ya kusimama kisa bendera inashuhwa au inapandishwa, kusimama au kuweka jam barabarani kisa kiongozi anapita yanachelewesha watu kwa sehemu kubwa sana kwenda kwenye ujenzi wa Taifa.
 
Habari Wakuu!
Kwanza Hongera kwa andiko lako Mkuu! Maua yako!
Ila nadhani ungeanza kuwahoji wabunge na watunga sera ambao wanavunja sheria mbele ya bendera! Bungeni kuna sheria nyingi za kipumbavu zinapitishwa na mahakama inabariki ila hakuna ambaye aliwahi kusema tusifanye unafiki mbele ya bendera! Mtu asiposimama basi jua kuwa anaona kuwa uzalendo wa masikini jasiri ndo kitu cha msingi kuliko uzalendo wa tajiri muoga.
Tuanze na hao wanaofanya madudu mbele ya bendera! wanaotafuta pesa za nchi mbele ya bendera kabla hatujaenda mashuleni na sehemu zingine.
 
Nyie ndio mlikuwa mkituambia utotoni kuwa ukifanya kosa kabusu bendera ya taifa unasamehewa makosa
 
Kumekua na mazoea sana katika shule, vyuo, nyumba za ibada, taasisi , mashirika na ofisi za kiserikali na binafsi kwa wale wanaotumia bendera ya Taifa kupandisha na kushusha bendera ya Taifa kimazoea nje au ndani ya muda sahihi.

Pia kumekosekana uzalendo kwa wananchi kusimama wima pale wawapo au wapitapo maeneo yaliyopo karibu na bendera ya Taifa pindi inapo pandishwa au kushushwa jambo hili likiachwa litaondoa uzalendo ndani ya nchi yetu na kuonekana sisi ni wananchi wa ajabu.

Naiomba serikali yangu tukufu kupitia amiri jeshi wetu mkuu kwa kushirikisha vyombo vya ulinzi viwe vya serikali au sekta binafsi kusimamia kwa kina Amri, sheria na kanuni za kupandisha na kushusha bendera katika maeneo yote yanayotumia bendera ya Taifa. Pia mashuleni na vyuoni kuwekwe sheria kali , amri na kanuni za uwajibishwaji wa wanafunzi pale wanapo kiuka amri ya filimbi ya kumtaka asimame pindi bendera inapopandishwa au kushushwa .

Na katika barabara zetu zinazokatisha katika maendeo yote zilizopo bendera ya taifa kuwe na sign board za amri itakayo mtaka mtu au chombo cha moto kusimama pale zoezi la kupandisha na kushusha bendera linapofanyika huku wakishirikishwa vyombo vya ulinzi na usalama kukamata na kuwawajibisha watu wote watakao kiuka Kusimama .

Mwisho kabisa naiomba serikali ipige marufuku nguo au vitambaa vyovyote / mavazi yeyote yasiyo rasmi yanayotengenezwa kwa mfano wa bendera yetu ya Taifa na kuzagaa nchini .
PUMBAVUH UNAFIKIRIA VITU VYA KICHOKOH BADALA YA KUFIKIRIA MAMBO YA MSINGI.
 
Back
Top Bottom