Sheria ya uanzishaji wa tume ya mipango haikubainisha sifa ya wajumbe wake?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Nimejaribu kupitia majina ya wateule tume ya mipango nashindwa kuelewa majukumu na malengo ya tume yatatekelezwa vipi.

Tunahitaji wabobezi kuongoza hiyo tume ili tuanze kupata matokeo mapema.

Ikiwezekana wateule wapatikane kwa njia za usaili za kawaida na sio uteuzi
 
Kwa hakika ingekuwa vyema kama tungefahamu hivyo vigezo vya kuwa wajumbe wa tume hiyo na nyingine za aina hiyo.

Nimeona majina hayo kwa wenye kutazamankwa kicho la dini hawatakosa cha kupngea lakini, vigezo vingefahakika ingeiuwa jambo jema.

Juzi hapa wakiwa Arusha na akina Prof. Assad na Zitto Kabwe ilipendekezwa nafasi hozo zitangazwe na baadhi wafanyiwe usaili, lakini kinachofanyima ni tofouti.
 
Nimejaribu kupitia majina ya wateule tume ya mipango nashindwa kuelewa majukumu na malengo ya tume yatatekelezwa vipi.

Tunahitaji wabobezi kuongoza hiyo tume ili tuanze kupata matokeo mapema.

Ikiwezekana wateule wapatikane kwa njia za usaili za kawaida na sio uteuzi
Nina uhakika sifa moja kuu ni kuwa mwana CCM, bila hiyo nafasi yako haipo.
 
Back
Top Bottom