Salaam kwa Wanasheria wa JF,
Naomba kupata ufafanuzi wa Jambo hili.
Nilikuwa ufukweni Coco Beach saa 1 jioni,tukaona dada anakuja anahema anasema vibaka wanajidai maaskari wanataka kunishika mimi nilikuwa na boyfriend wangu,sasa sijui ni wezi au vipi,tukamshauri ni bora akimbie apande taxi,maana kama ni askari kweli wakimshika atakuja kujua sheria ameishalala selo.
Mara wakaja askari 2 wamemshika huyo boyfriend,wao wanasema walikuwa wanafanya mapenzi(sex) hadharani,yule kijana anasema alikuwa ana kiss mpenzi wake na kumshika mapaja.Baada ya kumuomba askari aonyeshe kitambulisho ni kweli alikuwa askari.
Ninachouliza sheria inasemaje kuhusu kufanya mapenzi(sex) katika ufukwe(hadharani) na je hii kissing na kumshika mapaja nayo iko kwenye kufanya mapenzi?Na je inaruhusiwa au nayo inakatazwa kisheria?Asanteni