Sheria ya Mapenzi hadharani

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Salaam kwa Wanasheria wa JF,
Naomba kupata ufafanuzi wa Jambo hili.
Nilikuwa ufukweni Coco Beach saa 1 jioni,tukaona dada anakuja anahema anasema vibaka wanajidai maaskari wanataka kunishika mimi nilikuwa na boyfriend wangu,sasa sijui ni wezi au vipi,tukamshauri ni bora akimbie apande taxi,maana kama ni askari kweli wakimshika atakuja kujua sheria ameishalala selo.
Mara wakaja askari 2 wamemshika huyo boyfriend,wao wanasema walikuwa wanafanya mapenzi(sex) hadharani,yule kijana anasema alikuwa ana kiss mpenzi wake na kumshika mapaja.Baada ya kumuomba askari aonyeshe kitambulisho ni kweli alikuwa askari.
Ninachouliza sheria inasemaje kuhusu kufanya mapenzi(sex) katika ufukwe(hadharani) na je hii kissing na kumshika mapaja nayo iko kwenye kufanya mapenzi?Na je inaruhusiwa au nayo inakatazwa kisheria?Asanteni
 
Kaka itabidi utupe ufafanuzi kidogo ili tuelewe ndo tuchangie hii mada, kwani ili mtu ajulikane kuwa kafanya mapenzi anatakiwa awe amefanya nini hasa, na mapenzi ninavyojua mimi mbona sio kosa la jinai?
 
Salaam kwa Wanasheria wa JF,
Naomba kupata ufafanuzi wa Jambo hili.
Nilikuwa ufukweni Coco Beach saa 1 jioni,tukaona dada anakuja anahema anasema vibaka wanajidai maaskari wanataka kunishika mimi nilikuwa na boyfriend wangu,sasa sijui ni wezi au vipi,tukamshauri ni bora akimbie apande taxi,maana kama ni askari kweli wakimshika atakuja kujua sheria ameishalala selo.
Mara wakaja askari 2 wamemshika huyo boyfriend,wao wanasema walikuwa wanafanya mapenzi(sex) hadharani,yule kijana anasema alikuwa ana kiss mpenzi wake na kumshika mapaja.Baada ya kumuomba askari aonyeshe kitambulisho ni kweli alikuwa askari.
Ninachouliza sheria inasemaje kuhusu kufanya mapenzi(sex) katika ufukwe(hadharani) na je hii kissing na kumshika mapaja nayo iko kwenye kufanya mapenzi?Na je inaruhusiwa au nayo inakatazwa kisheria?Asanteni

Kutomasa, kubusiana kimahaba.... I would say YES! Hiyo ni kufanya mapenzi.
 
Tungependa kusoma hiyo statute yenyewe inasemaje. Na case law zime-tafsirije hili swala! Sio kutoa maoni yetu tu without any backing. Au sio?
 
Wnasheria mbona mko kimya??
Kwani sheria yenyewe inaelezea kufanya mapenzi hadharani ni kufanya nini??
Tusaidieni sisi tulio mazuzu magic wa sheria ili tupate kuelewa japo kwa udogo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom