Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake.
Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao.
Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao.

Wapo maskini wa aina tatu ambao ni Maskini wa kiuchumi (kipato), maskini wa kifikra(kiakili) na maskini wa Kiroho.
Umaskini wa kiuchumi unategemea zaidi aidha wewe ni maskini wa kiakili au Kiroho au vyote viwili.
Yaani ili uwe maskini wa kiuchumi itakupasa uwe aidha mjinga(maskini wa kiroho) au uwe Maskini wa kiroho(yaani unaamini katika miungu isiyo na msaada).

Moja ya sheria ya Maskini katika umaskini inasema USIONYESHE wala ku-post mafanikio yako.
Alafu ukifuatilia hoja yao kuu wanasingizia mambo makuu yafuatayo;
i) Ambao hawajafanikia watajisikia vibaya.
Alafu hapohapo wanamshirikisha Mungu(tajiri Mkuu) kuwa hapendi uonyeshe mafanikio yako. Jambo ambalo ni uongo na uzushi.

ii) Wapo Watu wenye husda ambao wakikuona watakufanyia ubaya ili uanguke. Jambo ambalo pia halina mantiki na linavunja kanuni za uhuru na utajiri.
Kwenye Kanuni za utajiri na nuruni ni kuwa kila unachofanya alafu ukafanikiwa lazima uonyeshe na u-post.

Hoja ya Maskini na umaskini zote ni za kijinga na zimelenga Ushetani na ushenzi. Na ukandamizaji.

Hoja hii ndio imefanya baadhi ya jamii na mikoa hapa Tanzania, vijana wanashindwa kujenga kwao kwa kuogopa kuwa watadhuriwa iwe kwa kulogwa au kwa namna nyingine na wale Watu wenye Chuki.

Jamii yoyote inayoficha Mafanikio, yaani inayotumia kanuni ya umaskini huwezi kukuta imeendelea. Lazima iwe fukara.
Ni uchawi kuficha mafanikio. Dalili mojawapo ya Watu maskini na wachawi ni kuficha vitu Vizuri.

mtu mwenye chuki ana chuki tuu. Na mtu mbaya ni mbaya tuu. Asisingizie kuonyesha kwako mafanikio kama wewe ndiye umemsababishia yeye kuwa na chuki. Nop!
Hata Kaini na Abel Kesi yao iko kwa namna hiyo.

Mwijaku wakati anaonyesha mafanikio yake Maskini na umaskini wao wengi walipiga kelele sana. Sio kwa sababu gani isipokuwa Chuki zao.

Yaani mtu ashindwe kuonyesha furaha yake kisa Chuki iliyopo moyoni mwako.
Mtu ashindwe kujenga kwao ati kisa asionyeshe mafanikio yake. Huo ni Ushetani, uchawi na kuhujumu uchumi wa jamii.

Matajiri wote wakipata mafanikio yao lazima wayaonyeshe kwa kuyafurahia na kufanya sherehe kubwa kwa kualika Watu.
Lakini hiyo kwa shetani na mashetani(maskini na umaskini) huchukulia jambo hilo kama majivuno wakati sio majivuno. Huona kama wanatambiwa au kuringishiwa jambo ambalo sio kweli.

Kwa vile maskini na úmaskini kama ilivyo uchawi wamezoea kula na kufanya sherehe zao usiku wakila nyama za Watu au wakifanya mambo mabaya basi wanataka walete kanuni hizo kwa Watu waliofanikiwa. Sio Sahihi.

Mtu asikutishe. Ukifanikiwa. Onyesha mafanikio yako uyafurahie na uwapendao. Onyesha kuwa Mungu amekusaidia.
Shetani hapendi kazi za Mungu zikiwa hadharani.

Ikiwa kuna mtu yeyote atakayejisikia vibaya kwa kuonyesha mafanikio yako basi jua yeye ndiye anamatatizo. Wewe mafanikio yake hayamhusu hata kidogo. Hujafanya sherehe kwake.

Yeye kama anamcha Mungu na anaupendo hawezi kujisikia vibaya ati kisa wewe unaonyesha mafanikio yako. Atakachokifanya ni kukupongeza na kumshukuru Mungu kwa ajili yako. Alafu yeye atasubiri wakati sahihi Mungu atakapoona naye amfanikishe. Na hata asipofanikiwa haitamuuma kwa sababu huenda ni mapenzi ya Mungu.

Lakini yaani ununue gari kali, uache kuenjoy kisa kuna wachawi wanaumia ukilitumia. Nani kawaambia unawaringishia, nani huyo?

Ati uache kuonyesha unakula vizuri kwa sababu kuna Watu hawali hivyo. Kwani wewe ndio umefanya wasile? Come on!
Kama mtu ana moyo safi anamoyo safi tuu. Kuona mafanikio yako kutampa moyo kuwa kama Mungu amekubariki wewe basi naye sio siku nyingi atabarikiwa..

Utajiri yaani uungu ni kufanya mambo hasa mafanikio yako yaonekane. Na Ushetani ni kufanya mambo yawe gizani, kuyaficha mambo mema na mazuri.

Zingatia, usionyeshe mipango na mikakati. Onyesha mafanikio yako. Sio dhambi.

Taikon nimemaliza! Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Masikini anatamani kila mtu awe masikini kama yeye, kama anauwezo wakukifanya lolote atakufanya tu, tumeona ndugu wanachukiana kisa moja katoboa tu. Mpaka wanachukia watoto wake, umasikini ni next to death.
 
Masikini ni nani?
 
Masikini ana nini cha kupost?
Huna mawazo ya kukukwamua, huna cha kujivunia, utapost nini?
 
Kila mtu anakitumia Mungu amembariki.
Kitu hicho kuwa na shukran nacho na kujivunia nacho ni sehemu ya kuonyesha unamoyo au roho ya kitajiri ingawaje kiuchumi ni maskini.

Ukiona mtu Hana chakuonyesha, kujivunia nacho ujue huyo ni maskini wa roho, akili na uchumi. Yaani kakosa vyote. Mtu huyo ndiye hatari zaidi
 
Kwa nini iwe na chuki na mafanikio ya wengine?
Yaani kwa nini unachukia Mungu akifanikish wengine? Huo ndio uchawi sasa
Chuki inazaliwa kutok kwenye tumbo la WIVU.

Na kitu kibaya ni KWANINI huyu ana hiki mimi sina? Hapo ndio chuki inakuja. Sasa maskini sisi hatuna vitu vingi hivyo tunakuw na WIVU .. wivu huo ukikomaa ndio unapata CHUKI.

HIVYO Maskini na CHUKI ni pipa na mfuniko huwezi tenganisha.
 
SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake.
Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao.
Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao.

Wapo maskini wa aina tatu ambao ni Maskini wa kiuchumi (kipato), maskini wa kifikra(kiakili) na maskini wa Kiroho.
Umaskini wa kiuchumi unategemea zaidi aidha wewe ni maskini wa kiakili au Kiroho au vyote viwili.
Yaani ili uwe maskini wa kiuchumi itakupasa uwe aidha mjinga(maskini wa kiroho) au uwe Maskini wa kiroho(yaani unaamini katika miungu isiyo na msaada).

Moja ya sheria ya Maskini katika umaskini inasema USIONYESHE wala ku-post mafanikio yako.
Alafu ukifuatilia hoja yao kuu wanasingizia mambo makuu yafuatayo;
i) Ambao hawajafanikia watajisikia vibaya.
Alafu hapohapo wanamshirikisha Mungu(tajiri Mkuu) kuwa hapendi uonyeshe mafanikio yako. Jambo ambalo ni uongo na uzushi.

ii) Wapo Watu wenye husda ambao wakikuona watakufanyia ubaya ili uanguke. Jambo ambalo pia halina mantiki na linavunja kanuni za uhuru na utajiri.
Kwenye Kanuni za utajiri na nuruni ni kuwa kila unachofanya alafu ukafanikiwa lazima uonyeshe na u-post.

Hoja ya Maskini na umaskini zote ni za kijinga na zimelenga Ushetani na ushenzi. Na ukandamizaji.

Hoja hii ndio imefanya baadhi ya jamii na mikoa hapa Tanzania, vijana wanashindwa kujenga kwao kwa kuogopa kuwa watadhuriwa iwe kwa kulogwa au kwa namna nyingine na wale Watu wenye Chuki.

Jamii yoyote inayoficha Mafanikio, yaani inayotumia kanuni ya umaskini huwezi kukuta imeendelea. Lazima iwe fukara.
Ni uchawi kuficha mafanikio. Dalili mojawapo ya Watu maskini na wachawi ni kuficha vitu Vizuri.

mtu mwenye chuki ana chuki tuu. Na mtu mbaya ni mbaya tuu. Asisingizie kuonyesha kwako mafanikio kama wewe ndiye umemsababishia yeye kuwa na chuki. Nop!
Hata Kaini na Abel Kesi yao iko kwa namna hiyo.

Mwijaku wakati anaonyesha mafanikio yake Maskini na umaskini wao wengi walipiga kelele sana. Sio kwa sababu gani isipokuwa Chuki zao.

Yaani mtu ashindwe kuonyesha furaha yake kisa Chuki iliyopo moyoni mwako.
Mtu ashindwe kujenga kwao ati kisa asionyeshe mafanikio yake. Huo ni Ushetani, uchawi na kuhujumu uchumi wa jamii.

Matajiri wote wakipata mafanikio yao lazima wayaonyeshe kwa kuyafurahia na kufanya sherehe kubwa kwa kualika Watu.
Lakini hiyo kwa shetani na mashetani(maskini na umaskini) huchukulia jambo hilo kama majivuno wakati sio majivuno. Huona kama wanatambiwa au kuringishiwa jambo ambalo sio kweli.

Kwa vile maskini na úmaskini kama ilivyo uchawi wamezoea kula na kufanya sherehe zao usiku wakila nyama za Watu au wakifanya mambo mabaya basi wanataka walete kanuni hizo kwa Watu waliofanikiwa. Sio Sahihi.

Mtu asikutishe. Ukifanikiwa. Onyesha mafanikio yako uyafurahie na uwapendao. Onyesha kuwa Mungu amekusaidia.
Shetani hapendi kazi za Mungu zikiwa hadharani.

Ikiwa kuna mtu yeyote atakayejisikia vibaya kwa kuonyesha mafanikio yako basi jua yeye ndiye anamatatizo. Wewe mafanikio yake hayamhusu hata kidogo. Hujafanya sherehe kwake.

Yeye kama anamcha Mungu na anaupendo hawezi kujisikia vibaya ati kisa wewe unaonyesha mafanikio yako. Atakachokifanya ni kukupongeza na kumshukuru Mungu kwa ajili yako. Alafu yeye atasubiri wakati sahihi Mungu atakapoona naye amfanikishe. Na hata asipofanikiwa haitamuuma kwa sababu huenda ni mapenzi ya Mungu.

Lakini yaani ununue gari kali, uache kuenjoy kisa kuna wachawi wanaumia ukilitumia. Nani kawaambia unawaringishia, nani huyo?

Ati uache kuonyesha unakula vizuri kwa sababu kuna Watu hawali hivyo. Kwani wewe ndio umefanya wasile? Come on!
Kama mtu ana moyo safi anamoyo safi tuu. Kuona mafanikio yako kutampa moyo kuwa kama Mungu amekubariki wewe basi naye sio siku nyingi atabarikiwa..

Utajiri yaani uungu ni kufanya mambo hasa mafanikio yako yaonekane. Na Ushetani ni kufanya mambo yawe gizani, kuyaficha mambo mema na mazuri.

Zingatia, usionyeshe mipango na mikakati. Onyesha mafanikio yako. Sio dhambi.

Taikon nimemaliza! Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Andiko zuri japo maskini hawajalipenda.
 
Back
Top Bottom