Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Mpwa Fidel nadhani hazina yako inapicha kibao hebu wacha yatia simanzi!
Nilitaka kuweka ile jamaa alivyo bondwa kichwani nikatambua naweza vuruga ijumaa yako
Mpwa Fidel nadhani hazina yako inapicha kibao hebu wacha yatia simanzi!
Nimeshakutana na vibaka ktk anga zao mara kibao lakini sijawahi hata kufikiria kuchukua jiwe na kumrushia kibaka.
Hii biashara ya kushabikia MAUAJI itatupeleka pabaya WATANZANIA. siyo ufahari kuua vibaka. kuna mzembe fulani (inawezekana unahusika) nyuma ya meza ofisini anakwapua kwa maandishi fweza za kusomeshea vijana halafu anasahau tatizo la mbeleni la vibaka watakaojitokeza baada ya kuwa jobless na hopless
Sheria mkononi haijaanza leo....1975 Nilishuhudia mwizi akipigwa kibiriti kule Keko magurumbasi
Bado hujanishawishi kuua kibakahujakutana na wezi wewe unaongea tu mimi nimeshaibiwa gari pale Millenium Tower tena la mkopo nimekatwa miaka mitatu sina hamu pia kuna siku nilipigwa roba jamaa wakala kila kitu mitaa ya nje ya DUCE kuelekea taifa walikuwa na visu, mapanga na marungu sema tu mimi nikatii kila walichosema wakaniibia simu 2, wallet, viatu, mkanda na pesa
Tokea hapo kila nikiona mwizi nahakikisha napiga vya kutosha na akifa ndio nasikia raha kwani nakuwa nimepunguza kibaka mmoja duniani
Huyo aliyeiba hapo mchikichini ni mwehu maana kupona kifo hapo ni asilimia 1 kati ya 100 ila siku hiyo aliamka na zali hiyo hiyo moja imemwokoa
sasa hivi nimenunua (kihalali) cha moto yaani nikisikia mbwa wangu wanabweka tu nje najiaandaa kumfumua mtu ubongo sina mzaha na mtu anayeitwa mwizi
Ndo maana tunawashauri watu wampigie kura SLAA maana inaonesha watu wameshachoka na maisha ila hawajui hiloJamani kama simu au sufuria la ugali unaua mtu. Hebu tujiulize anayeibiwa ni mmoja lakini mwizi anauwawa je, wanaoibia watu millioni 40 mbona wanaachwa wakishangilia?
najua kuwa kuna sheria hata siku niliyouziwa nilielezwa yote hayo ila naua na jela siendi labda bongo iwe marekani ndio nitaenda jelaBado hujanishawishi kuua kibaka
Katika sheria kuna mahala wanazungumzia reasonable force yaani huwezi kumtwanga risasi kibaka aliyekuja kwako bila silaha ya mto (only in tanzania labda)
Pia mie huwa nina mbinu ya kupambana na hawa jamaa bila ya kuwaumiza.
Kama unapenda kuishi ujue hata shetani anapenda kuishi naye sembuse mtu mbaya!
kwani unaua peke yako si mnakuwa wengi kila mtu anapiga kwa hiyo mnashea dhambi
ila mimi binafsi hata peke yangu naua kwa sababu ukizubaa wanakuwahi wewe mie nakaa sehemu ambayo kuna ule wizi wa kumtaimu mtu getini yaani nikikaribia home naweka cha moto mkononi kabisa mtu akijimiksi tu namfumua ubongo
Iko siku nawewe utachomwa tu.Hasikitishi hiyo dada Binafsi nakuwa na petroli katika galoni nimeweka ndani ya gari siku nikija kukumbana na watu kama hao simpi muda na mwagia petrol na kumuwasha utakuja shuhudia humu kwenye Jf sitanii hiyo ndio dhamira yangu ,pongezi za zati nawatumia wananchi wenye uchungu katika kuhangaika na maisha mnapokumbana na watu kama hao msiwapi nafasi ya pili katika maisha.
Iko siku nawewe utachomwa tu.