Sheria Mkononi!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
SULUBA.JPG

Mwizi huyu kaiba simu wananchi wenye hasira wanamwadhibu!

mwizi.JPG

Akaona ooohh ohhh isiwe taabu akaanza mdogo mdogo! Check jamaa aliye na sare ya CCM anakisu tayari kumchoma jamaa kwenye mata.ko yake.

maumivu.JPG

Jamaa alikimbia hadi kituo cha polisi akiwa ameishachomwa Kisu mata.koni.

Hivi wale wezi wa EPA na mafisadi wa KiCCM kwanini tusiwaadhibu kama huyu kijana?

Picha na Mdau Mamapipiro:
Mch Masa
 
Hiyo picha ya pili,
huyo kijana aliyeshika kisu (mwenye kofia) ni Kada wa chama gani?
 
Mhh inasikitisha sn

Hasikitishi hiyo dada Binafsi nakuwa na petroli katika galoni nimeweka ndani ya gari siku nikija kukumbana na watu kama hao simpi muda na mwagia petrol na kumuwasha utakuja shuhudia humu kwenye Jf sitanii hiyo ndio dhamira yangu ,pongezi za zati nawatumia wananchi wenye uchungu katika kuhangaika na maisha mnapokumbana na watu kama hao msiwapi nafasi ya pili katika maisha.
 
Nimekuelewa kaka ila tuanze na kina Karamangi na wenzake mbona tunawalinda tuu hao ndo waliochangia hawa vijana kuwa hivi:mad2::mad2::mad2::mad2:
 
siwezagi kuwatupia jiwe lkn vibaka hawa wana roho mbaya hawana ruhuma wakikupatia anga zao!
 
Nimekuelewa kaka ila tuanze na kina Karamangi na wenzake mbona tunawalinda tuu hao ndo waliochangia hawa vijana kuwa hivi:mad2::mad2::mad2::mad2:

Dada Unasahau kuwa wa Tanzania tunaishi maisha ya Gwantanabei Dola ndilo lenye Nguvu ,wengi wetu tumezoweya maisha ya kuropokwa ,kabla ya kampeni za Uchaguzi uliona humu JF watu walivyokuwa wanatowa makosa serekali leo huwaoni waliokuwa wakisema hivi na vile wameufyata kimnya .
 
Nimeshakutana na vibaka ktk anga zao mara kibao lakini sijawahi hata kufikiria kuchukua jiwe na kumrushia kibaka.
Hii biashara ya kushabikia MAUAJI itatupeleka pabaya WATANZANIA. siyo ufahari kuua vibaka. kuna mzembe fulani (inawezekana unahusika) nyuma ya meza ofisini anakwapua kwa maandishi fweza za kusomeshea vijana halafu anasahau tatizo la mbeleni la vibaka watakaojitokeza baada ya kuwa jobless na hopless
 
Vibaka wanaboa sana ila kuwafanyia haya nadhani tunaenda mbali zaidi!
 
Nimeshakutana na vibaka ktk anga zao mara kibao lakini sijawahi hata kufikiria kuchukua jiwe na kumrushia kibaka.
Hii biashara ya kushabikia MAUAJI itatupeleka pabaya WATANZANIA. siyo ufahari kuua vibaka. kuna mzembe fulani (inawezekana unahusika) nyuma ya meza ofisini anakwapua kwa maandishi fweza za kusomeshea vijana halafu anasahau tatizo la mbeleni la vibaka watakaojitokeza baada ya kuwa jobless na hopless
hujakutana na wezi wewe unaongea tu mimi nimeshaibiwa gari pale Millenium Tower tena la mkopo nimekatwa miaka mitatu sina hamu pia kuna siku nilipigwa roba jamaa wakala kila kitu mitaa ya nje ya DUCE kuelekea taifa walikuwa na visu, mapanga na marungu sema tu mimi nikatii kila walichosema wakaniibia simu 2, wallet, viatu, mkanda na pesa

Tokea hapo kila nikiona mwizi nahakikisha napiga vya kutosha na akifa ndio nasikia raha kwani nakuwa nimepunguza kibaka mmoja duniani

Huyo aliyeiba hapo mchikichini ni mwehu maana kupona kifo hapo ni asilimia 1 kati ya 100 ila siku hiyo aliamka na zali hiyo hiyo moja imemwokoa

sasa hivi nimenunua (kihalali) cha moto yaani nikisikia mbwa wangu wanabweka tu nje najiaandaa kumfumua mtu ubongo sina mzaha na mtu anayeitwa mwizi
 
Kuna siku nilishuhudia mwizi akivikwa tairi na kuwashwa moto maeneo ya Sinza! Roho iliniuma sana sana ni ukatili wa kiwango cha juu. Siwezi shuhudia hili, nimeishaibiwa sana tu ila siweki mkono wangu kuuwa, kinyume kabisa na imani yangu
 
7.jpg

Huyu aliokolewa na manjagu hao ambao walikuja baada ya masaa 2, lakini alikuwa bado anapumua licha ya kuvuja sana damu.
 
Mpwa Fidel nadhani hazina yako inapicha kibao hebu wacha yatia simanzi!
 
Kuna siku nilishuhudia mwizi akivikwa tairi na kuwashwa moto maeneo ya Sinza! Roho iliniuma sana sana ni ukatili wa kiwango cha juu. Siwezi shuhudia hili, nimeishaibiwa sana tu ila siweki mkono wangu kuuwa, kinyume kabisa na imani yangu
kwani unaua peke yako si mnakuwa wengi kila mtu anapiga kwa hiyo mnashea dhambi

ila mimi binafsi hata peke yangu naua kwa sababu ukizubaa wanakuwahi wewe mie nakaa sehemu ambayo kuna ule wizi wa kumtaimu mtu getini yaani nikikaribia home naweka cha moto mkononi kabisa mtu akijimiksi tu namfumua ubongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom