Hongera Arusha Mambo kwa kutuhabarisha.visit: www.arushamambo.com
click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." ili kusikiliza, page ya tunein ikifunguka tutafurahi uki click LIKE na kutoa comments zako if any...... karibu kusikiliza.
visit: www.arushamambo.com
click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." ili kusikiliza, page ya tunein ikifunguka tutafurahi uki click LIKE na kutoa comments zako if any...... karibu kusikiliza.
Miaka yote hawa wazanzibar wachache wamekuwa wakilalamika. This is not the first time mkuu. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
Rejao hivi ni zipi faida za muungano na Znz?
Iko wapi Tanganyika yetu? Twaililia Tanganyika yetu kwa vile wao wana Z'bar yao, na hatuko kwenye jukwaa sawa. Haya mazingaumbwe ya ccm ya 1+1=1 hatutaki.