Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,027
- 12,338
Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k
Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya kufagia makaburi kwa wapendwa wa familia au ukoo.
Utekelezaji wa sherehe hizi umeanza kwa takribani miaka 2000 iliyopita katika jamii za kichina.
Sherehe hii ya kufagia makaburi huusisha pia maombi, ibada mbalimbali kwa wale waliotangulia.
Sherehe hii ni official ndani ya China na Taiwan ila wachina walio katika mataifa mengine huadhimisha kwa kufuata China.
Sherehe hii huangukia katika siku ya 4-6 ndani ya mwezi April ya kila mwaka na mwaka huu 2024 itakuwa 4th April.
Sherehe hii uhusishwa na imani kadhaa mfano kwa wakulima huamini utekelezaji wa tendo la kuwakumbuka waliotangulia kwa kuadhimisha sherehe hii uleta baraka katika mavuno.
Wachina kweli wana mambo!
Mara ya mwisho wewe kufagia kaburi la Babu/Bibi yako na kula chakula kumkumbuka lini ?😄