Wangu wiki mbili kabla kujifungua nilimwagia chai ya moto....now tuna mtoto wa siku 10.Wadau hawa viumbe huwa wanapatwa na nin..au ndo hormones maana sielewi.
Si mchezo wadau.
Kawa mkorofi balaa.
Kila kitu hataki hasira toka asubuh hadi jioni.
Hizi mambo kwel hazichagui Race..dah..
Hivi mtu akinuna mwanzo mwisho mi namsaidiaje.
Dah
Mkuu yule binti uliyempa ujauzito akawa anaogopa baba yake , imeishia wapi hio kesi.Jifunzeni namna ya kuishi nao.
Mtoto wa watu angezima duhWangu wiki mbili kabla kujifungua nilimwagia chai ya moto....now tuna mtoto wa siku 10.
Yes bro.Mvumilie mkuu kwani ndio mtoto wenu wa kwanza au?
Kwakwel.Jifunzeni namna ya kuishi nao.
Sante dada mkubwa.
Ni balaa kaka..Kuwa Mpole Hapo Kama Road Unaambiwa Tembea Kwa Usalama.
Hapa jana alikua anapika keki sasa anapima sukar kwenye kamzani kake ka vipimo nkamwambia kiupole kabisa .mama usile sana sukar fanya vipimo vzur...aisee yalimtoka malalamishi ambayo hayajaisha tokea jana mpaka leo hii...kila nikiongea chochote...swala la vipimo vya keki linaingia..kwamba yeye hajui kupima..dah...Kampata mnyonge wake acha adeke...wengine tulikuwa tukitamani chips za kununua unashangaa mtu kaja na fuko la viazi na trei la mayai
....