Shemeji yenu kaanza timbwili za Umama Kijacho mapema sana wadau. Hivi ni kwanini?

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,541
Wadau hawa viumbe huwa wanapatwa na nin..au ndo hormones maana sielewi.

Si mchezo wadau.

Kawa mkorofi balaa.

Kila kitu hataki hasira toka asubuh hadi jioni.

Hizi mambo kwel hazichagui Race..dah..

Hivi mtu akinuna mwanzo mwisho mi namsaidiaje.

Dah
 
Wadau hawa viumbe huwa wanapatwa na nin..au ndo hormones maana sielewi.

Si mchezo wadau.

Kawa mkorofi balaa.

Kila kitu hataki hasira toka asubuh hadi jioni.

Hizi mambo kwel hazichagui Race..dah..

Hivi mtu akinuna mwanzo mwisho mi namsaidiaje.

Dah
Wangu wiki mbili kabla kujifungua nilimwagia chai ya moto....now tuna mtoto wa siku 10.
 
Kampata mnyonge wake acha adeke...wengine tulikuwa tukitamani chips za kununua unashangaa mtu kaja na fuko la viazi na trei la mayai
....
Hapa jana alikua anapika keki sasa anapima sukar kwenye kamzani kake ka vipimo nkamwambia kiupole kabisa .mama usile sana sukar fanya vipimo vzur...aisee yalimtoka malalamishi ambayo hayajaisha tokea jana mpaka leo hii...kila nikiongea chochote...swala la vipimo vya keki linaingia..kwamba yeye hajui kupima..dah...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom