Shemeji mh mh...

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,303
293
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​
 
huyo ndugu yako ameshaachana na huyo kaka,
sasa kinachokufanya wewe uendelee kuwa karibu ya huyo kaka ni nini?
au ndio kuendelea kumuheshimu huko?
maana yake mpaka kufikia kukaripiana kwenye simu, achilia mbali kukutana,
inaonyesha mna kitu kinachoendelea hapo baina yenu!!!!!
 
Watu wengine bana!Anyway mwambie aache tabia za ajabu,asipokuelewa usipokee simu wala usiende akuitapo!Akikufuata nenda juu zaidi kwa maana ya kwenye usalama!By tha way pole!
 
Kama hutaki kwenda naye mtamkie wazi, unajua wanawake huwa mna matatizo ya kufupisha maelezo. Unaanza kumdanganya eti niko buzy, ningekuja. unategemea nini kama si kusumbuliwa kila siku?
 
Ushauri wangu - kama kweli unampenda usimsumbue - mpe tu akate kiu yake.
 
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​
 
huyo ndugu yako ameshaachana na huyo kaka,
sasa kinachokufanya wewe uendelee kuwa karibu ya huyo kaka ni nini?
au ndio kuendelea kumuheshimu huko?
maana yake mpaka kufikia kukaripiana kwenye simu, achilia mbali kukutana,
inaonyesha mna kitu kinachoendelea hapo baina yenu!!!!!

Bacha naomba kujua, mana inanihusu - kuna rafiki zangu wakaribu saana
The guy nimejuana nae for 3 years na the mdada 5 but close for 2 years..
Niliwakutanisha mapenzi yao (wana mwaka sasa) na wana bifu saizi na they both
confide in me ila nishaona wanaachana maana issue ngumu...

Wakiachana inabidi nichague upande mmoja tu??
 
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​

hamna shida mpendwa we msikilizie tu..mpk akitaka kukuchojoa ndo UTAMWELEWA shemej!!!!!!!
 
huyo ndugu yako ameshaachana na huyo kaka,sasa kinachokufanya wewe uendelee kuwa karibu ya huyo kaka ni nini?au ndio kuendelea kumuheshimu huko?maana yake mpaka kufikia kukaripiana kwenye simu, achilia mbali kukutana,inaonyesha mna kitu kinachoendelea hapo baina yenu!!!!!
Umeona aeeUmesema kama inavotakiwa..Sante Bacha..
 
Bacha naomba kujua, mana inanihusu - kuna rafiki zangu wakaribu saana
The guy nimejuana nae for 3 years na the mdada 5 but close for 2 years..
Niliwakutanisha mapenzi yao (wana mwaka sasa) na wana bifu saizi na they both
confide in me ila nishaona wanaachana maana issue ngumu...

Wakiachana inabidi nichague upande mmoja tu??

kuchagua upande mmoja inahusu nini?
they r frend..kikla mmoja kwa mda wake km zaman ..kwan zaman ilikuwa kukutana mpak mkutane wote mda mmoja?hp no..so we endelea kila mtu na utamu wake wote ni marafiki na apo ukiegemea upande mmoja bas upande mwngne utaona we ndo kidudu mtu...

jifanye NAM..wote wachukulie poa.....
 
Umenikosha wewe mdada... ndo mawazo yangu, in fact i think mkaka needs me more kwani yuko mo affected.
 
Next time akukaripia mwambie akukome na asizoee kukukaripia..Hakika ataacha hiyo tabia..labda kama una feelings nae utashindwa kumwambia ukweli..tena ameachana na nduguyo futia mbali namba yake, ya nini?
 
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi karibuni,
Katika kipindi cha mahusiano yao mi nilikuwa mtu wao wa karibu sana katka kuwapatanisha,kupiga stor na mambo mengine ya kiurafiki.
kisa cha kuachana ni kuwa msichana anasema amechoka na uyo mkaka sababu mvulana ni mkorof,ana wivu kupita kiasi,mkali na anapenda kuamlisha. Tatizo ni kuwa sasa amenigeuzia mimi kibao japokuwa hajanitongoza ila anapenda kunikalipia hendapo nikicherewa kupokea simu, nikikataa kumfuata alipo anachukia na visa vingi utadhani mi mpenzi wake.mi bado namuheshimu sana. sasa wapendwa sielewi mi nimfanyeje
uyu shemeji naombeni utatuzi​
Kufa kufaana kunakuja taratiiiibu...! Haya kila la kheri...!
 
Na wewe, si muambie tu kwamba hupendi anavyokukaripia? mtu sio mpenzi wako unaogopa nini kumwambia kwamba hiyo tabia yake haikuvutii, au ushaanza kudevelop felings kwake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom