Sheikh Yahya: Aidha Kikwete au Slaa kufa kabla ya Oktoba 31!

Huyo mwenye kifafa na anayeanguka anguka lazima afe mwaka huu.

Are you any different from those who kills our fellow albinos???. Ones health problems shouldn't be a political issue my friend. It can happen to you and to anyone close to you. Don't make that kind of insult, is bad.
 
Kama vyombo vya usalama vinaona kauli ya mchawi huyu ni jambo la kawaida, kuna hatari ya wananchi kuchukua sheria mkononi dhidi yake. Hatuwezi kuendesha nchi kwa imani za kichawi. Nashangaa mteja wake (Kikwete) amekuwa kimya tu kuhusu kauli hizi za kijinga.
 
Shetani mkubwa yule na ashindwe kwa jina la YESU tunayemwabudu na kumtegemea kwa kila jambo.Bwana YESU awalinde JK NA Dr.SLAAA na mwisho wa siku sauti ya mungu isikike kupitia watu wake.Sauti ya watu ni sauti ya mungu.Watu wengi wanamtaka Dr.Slaaa na bWANA YESU ATAWAPA WATU WAKE KILE WANACHOOMBA kwa kumwinua juu Dr.Salaa.AMINA amina
 
Kama vyombo vya usalama vinaona kauli ya mchawi huyu ni jambo la kawaida, kuna hatari ya wananchi kuchukua sheria mkononi dhidi yake. Hatuwezi kuendesha nchi kwa imani za kichawi. Nashangaa mteja wake (Kikwete) amekuwa kimya tu kuhusu kauli hizi za kijinga.
kwa kweli hili jambo sio la kunyamazia ,serikali inadai haiamini uchawi lakini kwanini wanamuendekeza huyu mzee au ndo ngome yao
 
Shetani mkubwa yule na ashindwe kwa jina la YESU tunayemwabudu na kumtegemea kwa kila jambo.Bwana YESU awalinde JK NA Dr.SLAAA na mwisho wa siku sauti ya Mungu isikike kupitia watu wake.Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.Watu wengi wanamtaka Dr.Slaaa na bWANA YESU ATAWAPA WATU WAKE KILE WANACHOOMBA kwa kumwinua juu Dr.Salaa.AMINA amina

Mpe MUNGU heshima yake anayostahili. (red)
 
Yahya Husein ashindwe na alegee, atafute issue nyingine ya kufanya atuache watanzania tumkome nyani
 
Leo naanza maombi rasmi ili kuprove allah anayetegemewa na haka kababu kachawi ni shetani.
 

ami - kwa mungu hakuna dhambi ndogo na kubwa - kwa mungu dhambi ni dhambi tu - unamtuhumu kiongozi mmoja eti kapora mke wa mtu una uhakika na unalosema au unafuata mkumbo tu???? Hivi kuna kuvunja heshima ya mtu kuliko kumlaza mama mjamzito chini? Kumlaza mgonjwa chini? Kutojali mahabusu zilizojaa bila huruma?? Kutojali watoto wanaokaa chini sakafuni/kwenye udongo wakisoma ili nao wapate rizki siku moja? Kufumbia macho rushwa iliyokithiri na kuwanyima wanyonge haki zao?? Kuwakimbiza vijana wakifanya biashara bila kuwatengenezea mazingira ya kufanyia biashara?? Kuruhusu kuvuta gari la mtu na kumdai pesa nyingine zinazoingia kwenye mfuko wa kiongozi bila kujali??? Ni mengi mnoooooo na yanauma - toka 1961 hadi 2010 - umaskini ndio unaongezeka - na viongozi wanatanua tu na kutumia kodi zetu kutanua -oh god!!!! Dr. Slaa ana ujasiri wa kukemea maovu na sisi tunaochukia uovu tunamsupport - mkono wa mungu uwe juu yake - amennnnnnnnnnnnnnnnnn!!!!!!

Dr. Slaa hajampora mwanamke wa mtu - ni uongo - anaporwa kwani yeye ni karatasi mfukoni?? Si ana akili timamu ya kuamua? Kama huyo mumewe hafai kuwa mume kwanini asimwache akapendana na mtu anayemfaa???

Watanzania wengi - wamemwacha mungu wa kweli - uchawi umezidi, ufska, wizi, kuuana etc. Etc. Etc. - hivyo mungu atatoa adhabu kwa maovu hayo - huyo unaemwona mwadilifu lakini anaabudu uchawi - unadhani ndio kupona kwa taifa??? Ashukuriwe mungu kwani neema yake bado iko tanzania - waombaji wazidi kuomba rehema za mungu tu ......vinginevyo........

Hayo ni maoni yangu

asante kwa post nzuri
 
kwa kweli hili jambo sio la kunyamazia ,serikali inadai haiamini uchawi lakini kwanini wanamuendekeza huyu mzee au ndo ngome yao
Jaribu wewe kutamka neno kama hilo mbele ya waandishi wa habari, uone watakavyokuzukia kama kipanga ili u-verify unachomaanisha!
 
Mungu walinde wagombea wanaokuamini kuwa wewe ndio mwenye uamuzi wa maisha yao.

Nafikiri huyu mlozi amuhudumie mteja wake kwanza......ajitahidi kumtafutia dawa nzuri ili
1. asianguke tena
2. watu wakimzomea sauti isitoke
3. atunze muda wa wananchi
 
Are you any different from those who kills our fellow albinos???. Ones health problems shouldn't be a political issue my friend. It can happen to you and to anyone close to you. Don't make that kind of insult, is bad.


Mbona yeye ananyanyapaa wenye UKIMWI kwa kuwaambia ni kiherehere chao kupata UKIMWI?https://jamii.app/JFUserGuide CCM
 
Wanajamvi,

Nimesikiliza kwenye summary ya magazeti RFA asubuhi hii, kuwa yule Mtabiri na Mnajimu, aka "mzee wa ulinzi wa majini" amebashiri kwamba Mgombea mmoja machachari sana anayepania kuingia Ikulu katika uchaguzi huu, ATAKUMBWA NA MATATIZO MAKUBWA SANA!, lakini hajaeleza matatizo hayo kuwa yatakuwa ni ya aina gani!

Mnasemaje kuhusu bashiri za huyu mganga?...kuna haja ya kuzipa umakini bashiri zake?


Msanii tu huyu na yeye hajajitabiria atakufa lini?
 
Kama wanatuandaa ili wamzuru dr.basi wajue mkakati umeshindwa kabla ya kuanza!,na kama anatutisha hatutishiki,kila mtu atakufa kwa mipango ya mungu,huyu mzee aache watz wachague m2 wanayemtaka kwa amani na utulivu bila kutishwa
 
1. Nakumbuka kwenye moja ya chaguzi zilizopita huyu babu kijana alisema uchaguzi utasogezwa mbele tukabisha, lakini mgombea mwenza wa Mbowe akafariki na Uchaguzi ulisogezwa mbele,
2. Aliwahi kusema kuwa CUF na CCM watasaini muafaka baada ya mmoja ya chaguzi za nyuma zilizokuwa na ushindani mkali sana, tukamwona juha, umoja wa madola ukawapatanisha ikawa muafaka wa kwanza wa CCm na CUF,

Japo simwamini lakini mh.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom