Sheikh Ponda aichimba mkwara serikali! Ataka 102 waliokamatwa waachiwe huru

Ama kweli ukicheka na Mmbwa atakufuata mpaka mskitini.. Huyu jamaa mbona anapenda kupangia watu maamuzi hivi? Hii siyo nchi mwanachama wa nchi za kiarabu.!
 
[h=1]CV ya Issa Ponda[/h]Printable View

Show 80 post(s) from this thread on one page Page 1 of 4 123 ... Last
  • Jump to page:

  • 21st September 2012, 23:19
    Mwanaukweli
    CV ya Issa Ponda
    Tumesikia kauli ya mufti nanukuu, (maneno yote hapa ni ya Mufti si yangu):

    “Nawatahadharisha Waislamu wote nchini kwamba Ponda Issa Ponda si mwanazuoni, si Sheikh, hakusoma elimu ya msingi ya kidunia wala ya kidini, hata Qur’an hajui kusoma. Anajaribu kuwatumia Waislamu kwa manufaa yake binafsi. Hatujawahi kushuhudia kutoka Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania jambo lolote la maendeleo zaidi ya ghasia za maandamano, kupora misikiti na kudandia matukio na kuwachangisha Waislamu fedha, mwishoni mwa maandamano hayo huishia kuwatapeli waumini fedha zao ambazo huishia mifukoni mwa Ponda na wenzake.”

    "Ni kigenge cha watu wachache wenye kufuata madhehebu ya Mawahabi ambao kwa mujibu wa itikadi yao wanaamini kwamba Muislamu yeyote asiyefuata itikadi yao basi huyo siyo Muislamu na hafai kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile"

    "Vurugu, chokochoko na ghasia za uvamizi hazikuanzia Bakwata, wamekuwa wakifanya hivyo sehemu mbalimbali mikoani kwa kuvamia na kuteka misikiti na kuwaondoa viongozi waliochaguliwa kihalali kwa nguvu na udhalilishaji mkubwa na hatimaye kupora na kuhodhi rasilimali za misikiti hiyo."

    "Wamekuwa wakiendesha mafunzo ya karate kwenye misikiti hiyo waliyoiteka na kuikalia kimabavu ili waweze kuendeleza dhuluma yao ya uporaji wa Misikiti na vituo vingine vya Kiislamu."

    “Ni vitendo vinavyokiuka maadili ya Uislamu. Kwa sababu hiyo nawaonya na kuwatahadharisha Waislamu wa madhehebu yote kuepuka vitendo vya uvunjaji wa sheria unaofanywa na kikundi hiki cha watu wachache.”

    Source: Mwananchi 21.09.2012

    Mimi najaribu kutafuta ukweli katika haya anayosema mufti. Naombeni wanaofahamu vizuri CV ya Ponda watuwekee hapa.​
  • 21st September 2012, 23:41
    Maulid Daniel
    Re: CV ya Issa Ponda
    Muft ameishiwa labda tumuulize yeye kama kiongozi amefanya nn ktk maendeleo ya Waislamu ktk nchi hii. Analolijua ni kuuza viwanja vya Waislamu kiongozi mkubwa kama yeye ameishia kuomba msaada wa kujengewa mskiti mfano hai dodoma{msikiti wa ghadafi} sasa hebu jiulize hivi kabla ya ule msikit waislamu wa dodoma walikuwa hawamuabudu mungu wao. Kama ulicheck EATV alionyesha dhahir kwamba anajitenga na watu wake anaowaongoza pale aliposema waliovamia wizarani sio waislamu bali ni kikund cha wahuni sasa hiyo ni lugha ya kutolewa na Muft au yeye alikuwa anafurahi waislamu kuwekwa rumande kwa kugomea sensa. Mimi siijui CV ya Ponda lakini fikra zake tu anamzidi Muft kielimu​
  • 21st September 2012, 23:52
    Mtabe
    Re: CV ya Issa Ponda
    Ummati uliohudhuria kwenye maandamano na mkutano wa leo mbele ya sheikh ponda ni jibu kwa huyo anaejiita mufti. Na hilo tamko la mufti ni tamko aliloandikiwa na maaskofu alisome nilimuona alivo akilisoma kwa kunesanesa.​
  • 21st September 2012, 23:53
    Mwanaukweli
    Re: CV ya Issa Ponda
    Quote:

    By Maulid Daniel
    Muft ameishiwa labda tumuulize yeye kama kiongozi amefanya nn ktk maendeleo ya Waislamu ktk nchi hii. Analolijua ni kuuza viwanja vya Waislamu kiongozi mkubwa kama yeye ameishia kuomba msaada wa kujengewa mskiti mfano hai dodoma{msikiti wa ghadafi} sasa hebu jiulize hivi kabla ya ule msikit waislamu wa dodoma walikuwa hawamuabudu mungu wao. Kama ulicheck EATV alionyesha dhahir kwamba anajitenga na watu wake anaowaongoza pale aliposema waliovamia wizarani sio waislamu bali ni kikund cha wahuni sasa hiyo ni lugha ya kutolewa na Muft au yeye alikuwa anafurahi waislamu kuwekwa rumande kwa kugomea sensa. Mimi siijui CV ya Ponda lakini fikra zake tu anamzidi Muft kielimu

    Je ni kweli kuwa Sheikh Ponda ni wa dhehebu la Wahabi?​
  • 21st September 2012, 23:59
    Ally Kombo
    Quote:

    By Mwanaukweli
    Tumesikia kauli ya mufti nanukuu, (maneno yote hapa ni ya Mufti si yangu):

    “Nawatahadharisha Waislamu wote nchini kwamba Ponda Issa Ponda si mwanazuoni, si Sheikh, hakusoma elimu ya msingi ya kidunia wala ya kidini, hata Qur’an hajui kusoma. Anajaribu kuwatumia Waislamu kwa manufaa yake binafsi. Hatujawahi kushuhudia kutoka Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania jambo lolote la maendeleo zaidi ya ghasia za maandamano, kupora misikiti na kudandia matukio na kuwachangisha Waislamu fedha, mwishoni mwa maandamano hayo huishia kuwatapeli waumini fedha zao ambazo huishia mifukoni mwa Ponda na wenzake.”

    "Ni kigenge cha watu wachache wenye kufuata madhehebu ya Mawahabi ambao kwa mujibu wa itikadi yao wanaamini kwamba Muislamu yeyote asiyefuata itikadi yao basi huyo siyo Muislamu na hafai kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile"

    "Vurugu, chokochoko na ghasia za uvamizi hazikuanzia Bakwata, wamekuwa wakifanya hivyo sehemu mbalimbali mikoani kwa kuvamia na kuteka misikiti na kuwaondoa viongozi waliochaguliwa kihalali kwa nguvu na udhalilishaji mkubwa na hatimaye kupora na kuhodhi rasilimali za misikiti hiyo."

    "Wamekuwa wakiendesha mafunzo ya karate kwenye misikiti hiyo waliyoiteka na kuikalia kimabavu ili waweze kuendeleza dhuluma yao ya uporaji wa Misikiti na vituo vingine vya Kiislamu."

    “Ni vitendo vinavyokiuka maadili ya Uislamu. Kwa sababu hiyo nawaonya na kuwatahadharisha Waislamu wa madhehebu yote kuepuka vitendo vya uvunjaji wa sheria unaofanywa na kikundi hiki cha watu wachache.”

    Source: Mwananchi 21.09.2012

    Mimi najaribu kutafuta ukweli katika haya anayosema mufti. Naombeni wanaofahamu vizuri CV ya Ponda watuwekee hapa.

    Tumekusikia Bw. Luis Sendeu, msemaji wa Mufti wa Bakwata !​
  • 22nd September 2012, 00:01
    Ally Kombo
    Quote:

    By Mwanaukweli
    Je ni kweli kuwa Sheikh Ponda ni wa dhehebu la Wahabi?

    Wewe Wahabi unawajua ?​
  • 22nd September 2012, 00:03
    Remote
    Re: CV ya Issa Ponda
    kama hadi linacheza karate msikitini litakuja kuwa gaidi hili.. Namsihi mufti kama huyo ponda hajasoma bakwata waandae ilmu ya UPE ili type hzo za ponda wapelekwe​
  • 22nd September 2012, 00:04
    Mwanaukweli
    Re: CV ya Issa Ponda
    Quote:

    By ally kombo
    Wewe Wahabi unawajua ?

Kidume Ponda kimeunguruma kama nilivyotaraji ha ha haaas. Go Ponda Amiri Geshi Msaidizi. Naisubiri Ijumaa kwa Hamu
 
Sasa kama wengine wanasema ni Mrundi wapi Uhamiaji? Ngoja tuone tamko la Ponda likitekelezwa!
 
Kova atangaza kufikishwa mshakamani kwa mtoto aliyekojolea MKOJO kolani.

Cha ajabu waliochoma makanisa.

Ivi waislam duniani nao wataandamana?!
 
Hiyo ndio serikali dhaifu ya wadhaifu..... Naona wanajaribu kupimana nguvu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom