Sheikh Ponda aichimba mkwara serikali! Ataka 102 waliokamatwa waachiwe huru

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Sheikh Ponda akiwa anaongea kupitia Redio Imaan amesema waumini waliokamatwa katika kudai haki yao kwa kudhiaki Mtume Mohammed, Sheikh Ponda amamtadhalisha Kamanda Kova Kuwaachia waumini ambao hawana hatia kurudi majumbani kwao bila
ya kudhuliwa na police

SOurce: Redio Imaan

Mytake;

Kamanda Kova sikiliza kilio cha Sheikh Ponda Yatakukutaa!
 
mwanaume ponda keshaongea ...lazima waachiwe tu. Nani anabisha? Historia inajielezea .... Flash back mkasa wa sensa
 
Hapo ndipo nitaelewa kama nchi hii inaongozwa/kutawaliwa kwa matamko au kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi.
 
ponda na mamlaka kama waziri kamili wa serikali, ndio hivyo alivyozoezwa, aliamuru watu waandamane bosi NECTA aondoke na watu wakaandamana na hawakufanywa lolote, Mhe. Waziri Ponda, nahisi Ofisi yake ipo IKULU
 
who is ponda in this country?
nadhani amri hii imetolewa na mdosi mkubwa serikalini kupitia kwa ponda
 
dah, hata maamuma anapiga biti siku hizi

hivi yawezekana hata hajui kwanini wapo ndani
 
Ponda kidume asikwambie mtu,keshatoa tamko hapo Kj,sele kova,na side boy mwema wanahaha,lazma watawaachia tu,mnajua Ponda au unamskia? Kwake hakuna wa kumchukulia hatua,sheria zote zko chini ya sandals zake
 
Sheikh Ponda akiwa anaongea kupitia Redio Imaan amesema waumini waliokamatwa katika kudai haki yao kwa kudhiaki Mtume Mohammed, Sheikh Ponda amamtadhalisha Kamanda Kova Kuwaachia waumini ambao hawana hatia kurudi majumbani kwao bila
ya kudhuliwa na police

SOurce: Redio Imaan

Mytake;

Kamanda Kova sikiliza kilio cha Sheikh Ponda Yatakukutaa!
Huyu Ponda Ni Rais wa Jamhuri ya wapi
 
Sheikh Ponda akiwa anaongea kupitia Redio Imaan amesema waumini waliokamatwa katika kudai haki yao kwa kudhiaki Mtume Mohammed, Sheikh Ponda amamtadhalisha Kamanda Kova Kuwaachia waumini ambao hawana hatia kurudi majumbani kwao bila
ya kudhuliwa na police

SOurce: Redio Imaan

Mytake;

Kamanda Kova sikiliza kilio cha Sheikh Ponda Yatakukutaa!

Ponda na Shekhe Ilunga walishasema katika majumuisho ya mihadhara pale Diamond Jubilee. Waislamu sasa si wakati wa kulalamika tena. Shughulika, sisi tutakuja kushughulikia yatokanayo baadaye. Kama ni kutoa mdhamana au kuwasiliana na wahusika. Kweli sasa nimejua alikuwa anamaanisha.
 
Ponda kidume asikwambie mtu,keshatoa tamko hapo Kj,sele kova,na side boy mwema wanahaha,lazma watawaachia tu,mnajua Ponda au unamskia? Kwake hakuna wa kumchukulia hatua,sheria zote zko chini ya sandals zake

E bwana we yeye Yuko juu ya Sheria. Basi huyo Ni Mdogo wake Mungu labda
 
Sasa serikali itafanyeje kama si kuwaachia, manake ijumaa ikifika timbwili lake baada ya swala ya alasiri ni nouma...hahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom