Sheikh Khalifa Khamis alalamika Waislam kuminywa na Serikali Kuu, TRA na Vyombo vya Dola

Masheihk wa Zanzibar walikamatwa na Rais Shein, Rais Shein ni Mkristu? Rais wa Jamhuri alikuwa Kikwete, je na yeye alikuwa mkristu? mbona wazinzabar wamenyamaza kimya au nao ni wakristu, nimekudharau sana wewe sheikh khalifa
 
Waislamu mnachosha na vilio vyenu kila Rais anapokua mkristo! Lazima mjifunze kukubali baadhi ya mambo!
 
Wakati wa Nyerere walisema anawapendelea wakatoliki ikabidi afanye uchunguzi kwn baraza la mawaziri akakuta baraza la mawaziri wapo wakatoliki 2 tu George Kahama ambaye alikuwa mkatoliki ila alikuwa ana wake 2 kinyume na imani ya kikristo kuwa na mke mmoja
 
Salaaam,

Sheikh khalifa...hiv karibuni umekuwa celebrity kwenye mitandao hata magazetini hususan pale unaposimama na kuelezea position ya waislam hasa katika teuzi za Bwana Juma Poor Manager...

Ulichonistaajabisha zaid ulifikia hadi hatua ya kuweka sample ya wasomi waislam weengi wenye ngaz za udaktari hadi uprofesa...pale ulinistaajabisha sana.

Nasema ulinistaajabisha kwa kuwa nchi hiii waislam wanaonekana hawajasoma kabisa kabisa...hapa nieleweke vizur sheikh khalifaa...siyo maana kwamba waislam wenye elimu hiyo dunia ni wengi kuliko huko upande wa pili hapana...ila nchi hii wanaonekana hawajasoma kabisa na ni wakutafuta kwa tochiii....thats why hoja yao kuuu ni kusema aaah nyinyi waislam mmezoea kulalamika lalamikaaa,kwanza hamna elimuuu...mnachojali ni madrasa tuh na watoto hawapelekwi shule...kwaiyo acheni fyoko fyoko zenu...zama hizi tunaangalia elimu elimu elimuuuu..

Sasa pale sheikh khalifa ulipokuja na sample ya japo baadhi ya hao wasomi nikajiuliza wewe umewatoa wapi na juma poor manager ameshindwa nin?.

Kipindi kikwete yupo madarakan Alhamdulillah alijaribu kuwatafuta japo kwa tochi baadhi wa waislam na kuwashirikisha katika uongozi wake...afanaleekii...kilichotokea ilikuwa ni mayowee na kwaya kila siku waislam wanapendelewaaa waislam wanapendelewa nchi ina udiniiii..

Ilifikia kipind hadi kampeni zikafanywa makanisani apewe Urais Dr Slaa kwa udini wa kikwete...sema hawa jamaa zetu wamesahau....

Siyo vyema kumpangia juma poor manager watu wa kufanya nao kazi...lakin tunachojaribu kusema ni kwamba hiii ni nchi yetu sote...once inapoonekana watu wa iman fulan na watu wa iman nyingine wanatengwa kwa visingizio visivyo na tija haijenge utaifa imara na undug wa kitaifa...

Ombi langu ambalo sheikh khalifa naomba unifikishie ni kwamba...juma poor manager asiwe na hofu na wala asijistukie...hana dhambi wala kosa kwa kutowashirikisha waislam kwenye serikali yake...ikibid apige chini waislam woote kwenye serikali yake na aweke wale anaowaona ni wake na aongoze nchi...bado sisi tutampa ushirikiano na kuzid kumwombea dua njema katika uongoz wake...

Kikubwa ni amani na utengamano wa taifa...mambo mengine haya sisi tumeshazoea....wacha tuh tupeleke watoto wetu madrasa maana hata tukisema vip ni kama kumpigia mbuzi gitaaa.
 
We jamaa unachekesha sana. Nyie si ndiyo mlikesha kuhakikisha CCM na huyo juma wanashinda. Au mmeshasahu mara hii? Hamkujua kuwa "choice has consequence" vumilieni tu kama wanaume. Miaka kumi sio mingi.

Uchaguzi wa 2025 muwe mnashirikisha akili zenu kabla ya kupiga kura na sio kutumia mihemko kupiga kura.
 
Tatizo la waislamu wa Tanzania ni CCM na siyo ndugu zao Wakristo!! Tatizo hapa ni wao hawataki kuachana na CCM!
 
Hapa Nazi Tu hana udini wala ukabila wala ujinsia. Anachagua watendaji wake kulingana na ubora wake. Hajali, urembo,udini wala ukilema. Anaamini kua msomi, mwaminifu na mchapa kazi ndio atakaeipeleke nchi hii mbele. Haangaliu sura. Sasa hiyo tafsiri yenu itawaumiza bure. Muacheni kwanza huyu jamaa, aijnge nchi kwanza. Nchi ikikamilka kiuchumi basi mtachukua uongozi na kula natunda yake!
 
Hivi hao masheikh waliokamatwa, si walikamatwa Enzi za rais Mwislam? Tena Zanzibar na muungano, makamu wa kwanza wa raisi alikua muislam tena Mzanzibari, IGP alikua muislamu na hata mkuu wa usalama wa taifa nae alikua muislamu, sasa Magu anaingiaje!? Halafu hivi hapa kwetu kuna kesi yeyote ya ugaidi iliofunguliwa apart from ile ya Lwakatare!?
Nauliza tena kaswali kangu; ni nchi gani yenye Waisalmu walau 30-99% na hawalalamiki!? Naomba kuijua hiyo nchi iliopo kwenye hi sayari ya dunia.
 
Malalamiko yapo pande zote, ni juzi wakristo wakimshutumu Dk Dau kwa upendeleo na wana sababu zao, na kuna watu wanaishutumu serikali hii kwa upendeleo nao wana sababu, ziletwe mezani tuzijadili, mfano masheikh kuwekwa ndani bila kupelekwa mahakani hili siyo la kidini hili ni la haki za binadamu, tumepiga kelele sana lakini hawa hawa kina Khalifa wakaliangalia kishabiki tutamchafua Kikwete leo kaondoka wanamtwisha Magufuli hii siyo sawa, suala la haki za binadamu haliangalii nani yuko ikulu, na wakristo lazima waliangalie kiubinadamu wasipofanya hivyo, wakitendwa na wao na wenzao wataona hayawahusu lkn sisi si ni nchi moja, basi uko wapi umoja wetu?
 
Wanawake wanataka hamsini kwa hamsini, na huyu jamaa nae anataka hamsini kwa hamsini, walemavu nao vilevile. Wawe,mafisadi, wavivu, shule ndogo, wabinafsi wawepewe uongozi tu!!!!!
 
Mwenye CV ya huyu shehe anipatie,tusiwe tunapoteza nguvu kumbe mtu mwenyewe la saba failure
 
Uislamu mgumu sana tofauti na unavyohubiriwa
Mfano waislamu wanaweza kuhubiri upendo kwamba binadamu wapendane na kwamba uislamu unaamrisha hivyo ila huwezi kushika biblia au kufungua makanisa kwenye nchi za kiislamu watakuchinja mchana kweupe ila cha ajabu wakija nchi za kikristo kama ulaya wanapewa Uhuru wote hakuna anayewabugudhi cha ajabu wakikaribishwa nchi za watu wanataka kuvunja mila desturi na tamaduni zao wenyeji sasa wewe nenda Riyadh Mosul tolabora nk kabadilishe tamaduni za dini uone kama kisu hakijapita shingoni
 
Huyu mzee wa kulalamika hawezi kuridhika hata siku moja! Ukitaka kumridhisha mpatie urais aanzishe IS nchini Tanzania! Anataka viongozi wawe wa dini yake ili wamfanyie nini? Anataka upendeleo UPI? Ni lini Khalifa akawa mtetezi wa Bakwata? Hili si ndilo kundi ambalo huilaumu Bakwata kuwa ni kibaraka wa serikali? Kuna kiumbe mmoja alikuwa na kila kitu lakini alikuwa chini ya utawala wa muumbaji, hakuridhika! akataka awe kama muumbaji mwenyewe! Akaanzisha uasi, matokeo yake akafukuzwa mbinguni na anasubiri kuingia jehanam!
 
Masheihk wa Zanzibar walikamatwa na Rais Shein, Rais Shein ni Mkristu? Rais wa Jamhuri alikuwa Kikwete, je na yeye alikuwa mkristu? mbona wazinzabar wamenyamaza kimya au nao ni wakristu, nimekudharau sana wewe sheikh khalifa
Naona tutofautishe kati ya waislam wa ukweli na waislam lalamishi ambao kazi yao nni kuupaka matope uislam ili uonekane kuwa ni tatizo katika jamii! Waislam lalamishi wana alama zifuatazo: 1. Hawaitambui Bakwata! Huwezi kutegemea mwislam asiyeheshimu hata viongozi wake mwenyewe ataweza kuheshimu serikali! 2. Wanaanza mfungo tofauti na wenzao na wanafungua tofauti na wenzao kinyume kabisa na maelekezo wa shehe mkuu wa Tanzania.
Viongozi wa Zanzibar wote ni waislam, hata hivyo hawajawahi kuridhika na viongozi wa Zanzibar! Wataridhika tu kama watasimamisha IS!
Hawa watu msemo unaowafaa ni ule aliokuwa anautumia JK kuwa "kelele za chura haziwezi kumzuia mtu kuteka maji"
Kuna waislam wa ukweli wenye heshima kubwa katika jamii kama vile shehe MKUU wa Dar wasiwekwe kundi moja na hawa lalamishi
 
Back
Top Bottom