Sheikh Jongo bado ana mengi ya kujifunza

Status
Not open for further replies.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza. Muislaam chochote anachokipigania, kwanza huwa ni kwa dini yake. Kama anapigania "uhuru" kwa ajili anabanwa katika kuutimiza wajibu wake wa Kiislam basi ujuwe hapo ni moja kwa moja kaupigania Uhuru ili aishi kama Muislam anavyotakiwa kuishi katika Uislam.

Utaupigania uhuru kama uko huru? fikiri!

mtoto wa kike kuwa muongo haipendezi mbona katika harakati hizo hawakujiita Hezbollah au Muslim Brotherhood??? waliamua kujiita Tanganyika African Association (TAA) na baadaye Tanganyika African National Union (TANU) kwasababu harakati zao za kupigania uhuru ziliunganishwa na utanganyika wao; hiz porojo zenu za Kariakoo tafuteni wajinga wa kuwahadithia.
 
Uhuru wa Tanganyika uliletwa na watanganyika wenyewe haukuletwa kwa misingi ya kidini!

Yaezekana hayo maneno yako ikawa ni "kweli"!?

Lakini tatizo ilikua ni pale wakti wa zile harakati za ule "uhuru"...yule Nyerere na wafuasi wake aka viongozi/wanasiasa...hawakuona dhiki asilan kuzitumia dini,khasa Uislam/Waislam ili kufanza harakati zile misikitini,kwenye baadhi ya Taasisi za Kiiislam na kwingineko...ambako hata yule Julius Nyerere mwenyewe akihudhuria na dini ya Kiislam/Masheikh wakitumika ili kufanikisha harakati zile!?

Sasa,mara baada ya kupatika ule "uhuru"...ndipo ati ghafula yule Nyerere anatoa makucha yake na ati kukemea "udini"!? Ebo!

Hii topic ni ndefu mno,na nafikiri Bwana mleta mada ana maandiko kadhaa yenye kujitosheleza kwayo!?

Kwa kifupi,tatizo la yule Nyerere na takriban Wanasiasa/viongozi woote wa Kiafrika,ni yakua yale wanayo-preach siyo yaliyo ndani ya mioyo yao!?...huu ni unafiki ulokubuhu!

Kwanini yeye Nyerere hakuona umuhimu wa kuweka ile "mipaka" ya kutenganisha imani/dini na serikali au shughuli za kiserikali,katika kipindi kile muhimu mno, cha awali ya harakati za kuleta uhuru!?

Haiwezekani yakua hali hiyo ya kutenganisha/kutafautisha serikali na imani/dini za Watanganyika...kama yeye Nyerere angaliweza kuitimiza/kuijenga mapema ndani ya mioyo/fikra za Watanganyika/Waislam...labda ingemuepushia kuonekana mnafiki kwao!?

Yaani Watanganyika/Waislam,wamejikhis kutumika na kua-betrayed...taken for granted!?

Kwanini iwe huo "udini" wa Waislam, yeye Nyerere na wafuasi wake...wauone/waushtukie tu baada ya kupatikana ule uhuru!?

Wakati masuala yaleyale ya "udini",mbona yeye Nyerere hakuyapinga/kukemea,na alifaidika nayo mno kwenye harakati zile!?...hii kufaidika,ni Nyerere mwenyewe kwa mdomo wake,amesema mara kadhaa!?

Yaani Mkuu,mie najaribu kukupa ile slightly different perspective or Muslim's point of view, if you like!?

Najaribu kutumia empathy na kuwafahamu ndugu zetu Waislam,ambao nafikiri weye unadai ati haweshi kulalama,au!?

Kwa kifupi,hata kama yeye Nyerere hakua na nia ya kuleta nchi yenye misingi ya kidini....lakini impression aliyotoa tangia awali ni yakua, hapakuwapo na khitilaf amma utengano,baina ya dini/imani na serikali/shughuli za kiserikali!?

Je yule Nyerere alifanza vile kwa makusudi au bila ya kufahamu athari zake!?...je kwanini hakuona ni muhimu kufifilisha/kukemea zile harakati za "mchanganyo" wa dini/imani na zile shughuli/harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika, tangia ile awali ya kuundwa kwa TANU!?

Nakhis hiyo nayo ni topic nyangine kabisaa,au!?

Ahsanta sana!
 
mtoto wa kike kuwa muongo haipendezi mbona hiz porojo zenu za Kariakoo tafuteni wajinga wa kuwahadithia.

Mkuu,

Nakhis ungalifanza jambo jema mno,kama utajiepusha na maneno makali na kebehi,kwa Mwanajamvi mwanzio Mkuu FaizaFoxy!?...khasa hapo unapowatukana hao watu wa Kariakoo kwa pamoja!? Daah!

Hao hao unaowakebehi ati ni "waleta porojo"...lakini si ndo haohao tunaambiwa yakua ndo walomsitiri kwa malazi na chakula yule "Baba wa Taifa",au!?...hili katwambia/katuthibitishia yule Nyerere mwenyewe hadharani,tena mara kadhaa!

Je nyinyi Wabondei hamna hila na madhila yenu!?...hivi kweli itakua vyema Mwanajamvi mwangine naye atumie kujibu hoja zako,kama ni platform ya kuwananga Wabondei nyoote!? Daah!

Ahsanta!
 
Mungu aliwanusuru hawa,aliwapa upeo wa ziada-hawakuishia madrasatul waliendelea na skuli/vyuo na matunda tunayaona,wanaijua keyboard

Naona umetumia tashtit kiduchu kwenye hiyo bayana yako,au!?

Tafadhali acha kujadili Wanajamvi wanzio Mkuu na huku ukikashif Ilm za Madrassa!...sidhani kama unayafahamu kiundani hayo masuala unayojaribu kuyakashifu!? Daah!

Vipi, hivi yule Mama wa pale Blackstoke Rd mlishaachana!? Duuh! Ni kitambo kingi mno, Mkuu!

Ahsanta sana!
 
Asante kaka ilikuwa ni swali la uchokozi tu, Jongo ni jina la Kindengereko na palikuwa na uhasama sana miaka ya nyumba kati ya Wamanyema/Wazulu na hao Wandengereko/ Wamatumbi

Haya majambo ya stereotypes,prejudices na madhaifu mwangine ya kimwana-Adam...mbona yametapakaa takriban katika kila society duniani humu!?

Mfano kiduchu, kwani hufahamu yakua ndugu zetu Wachaga na Wapare, nao pia wana makhanatha baina yao for centuries!?...vipi kukhusu Wakinga na Waman'gati!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwa kifupi,hiyo issue ya ile history of Metropolitan Mzizima,sio rare case!...khasa kama unatazama kiundani ile impact/implications za ule unyama/uharamia wa Colonialism!?

Tafadhali,jaribu kujikita kwenye mada kama ilivyoletwa. Achana na huyo Nanren!...yeye yupo hapa jamvini kwa kuchochea kuni na kuleta distraction dhidi ya Maalim Mohamed Said tu!? Daah!

Ahsanta sana.
 
we Son of Alaska umemsahau yule mmoja aliyeenda kuomba viza ya Uingereza ubalozini amevaa kanzu na kobazi alikuwa pamoja na mwenzake aliyepiga suti lakini akanyimwa viza yule mwenye suti akapewa yeye shariff, sasa sikuhizi nasikia viza unaipatia Nairobi ya Uingereza, sasa sijajua kama na huko ataenda na Kanzu na Kobazi pia na yeye keyboard ha,pigi chenga sana...

Bila kumsahau yule dada mwingine mwenye uraia wa Canada akija Tanzania anauachia Nairobi halafu anaingia Tanzania kwa sababu Tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili hiyo ni ya siriwazi au uwazi wa siri na yeye pia keyboard haimpigi chenga...

Mkuu wa Chuo!

Mbona unakua hivi Kaka!? Daah!

Kama vipi,kwanini basi usiketi tu kando na kwaachia wangine kuchangia!?

Tafadhali,tujaribu kujikita kwenye mada badala ya kuwanyambua Wanajamvi wanzetu, bila ya hata lazim ya kufanza yayo!?

Ahsanta.
 
Naona umetumia tashtit kiduchu kwenye hiyo bayana yako,au!?

Tafadhali acha kujadili Wanajamvi wanzio Mkuu na huku ukikashif Ilm za Madrassa!...sidhani kama unayafahamu kiundani hayo masuala unayojaribu kuyakashifu!? Daah!

Vipi, hivi yule Mama wa pale Blackstoke Rd mlishaachana!? Duuh! Ni kitambo kingi mno, Mkuu!

Ahsanta sana!
Umekuja na ID ingine,unajifanya unawajua watu- hebu nikumbushe hiyo Blackstoke road- I cant seem to recall
 
we Son of Alaska umemsahau yule mmoja aliyeenda kuomba viza ya Uingereza ubalozini amevaa kanzu na kobazi alikuwa pamoja na mwenzake aliyepiga suti lakini akanyimwa viza yule mwenye suti akapewa yeye shariff, sasa sikuhizi nasikia viza unaipatia Nairobi ya Uingereza, sasa sijajua kama na huko ataenda na Kanzu na Kobazi pia na yeye keyboard ha,pigi chenga sana...

Bila kumsahau yule dada mwingine mwenye uraia wa Canada akija Tanzania anauachia Nairobi halafu anaingia Tanzania kwa sababu Tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili hiyo ni ya siriwazi au uwazi wa siri na yeye pia keyboard haimpigi chenga...
Mkuu wa chuo habari za siku.

Nasoma mistari yako hapa lkn maneno mengi naona ni mipasho tu na mafumbo!

Hebu funguka kwa uwazi zaidi tukuelewe!
Manake sisi wengine mipasho sio fani zetu.
Hebu dadavua kidogo hapo juu hao unaowataja hapo juu HAWANA MAJINA!??
manake usemavy hapo juu ni kama wale waimba taarabu! Mara nyingi majina hawataji!
 
Last edited by a moderator:
HUYU alienda VIZA ubalozini akiwa kavaa kobazi simkumbuki lakini nahisi ni@Ritz, huyu hana substance,ni mtupu,yeye ufuta upepo unavuma wapi basi uelekea hukohuko irrespective of the consqences
Ukitaka kujua mimi mtupu waulize dada zako ngoja nikitumie PM namba zao za simu halafu waulize takupa majina yao.
 
Mkuu wa Chuo!

Mbona unakua hivi Kaka!? Daah!

Kama vipi,kwanini basi usiketi tu kando na kwaachia wangine kuchangia!?

Tafadhali,tujaribu kujikita kwenye mada badala ya kuwanyambua Wanajamvi wanzetu, bila ya hata lazim ya kufanza yayo!?

Ahsanta.
Huyo mwingine anajiita Son ni mtoto wa watu.
 
Huyo mwingine anajiita Son ni mtoto wa watu.
Kiswahili kigumu kwani wewe ni mtoto wa mbwa,wewe lazima wewe utakuwa umeajiriwa na ramadhani dau pale NSSF-maana pale huitaji interview ili murad uende umevaa,kubazi,kanzu,tasbii mkononi buibui au hijab
 
Mkuu wa Chuo!

Mbona unakua hivi Kaka!? Daah!

Kama vipi,kwanini basi usiketi tu kando na kwaachia wangine kuchangia!?

Tafadhali,tujaribu kujikita kwenye mada badala ya kuwanyambua Wanajamvi wanzetu, bila ya hata lazim ya kufanza yayo!?

Ahsanta.

Al akhiy gombesugu nilikuwa najaribu kuweka record sawa tu kabla mada haijaenda mbali...

hata hivyo mjadala nipo naufuatilia kwa karibu zaidi na michango yote ya wanajamvi nipo naingalia, kwa hiyo usiogope Al Akhiy...

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo habari za siku.

Nasoma mistari yako hapa lkn maneno mengi naona ni mipasho tu na mafumbo!

Hebu funguka kwa uwazi zaidi tukuelewe!
Manake sisi wengine mipasho sio fani zetu.
Hebu dadavua kidogo hapo juu hao unaowataja hapo juu HAWANA MAJINA!??
manake usemavy hapo juu ni kama wale waimba taarabu! Mara nyingi majina hawataji!

habari za siku ni nzuri bwana kahtaan, nimeeleweka vizuri sheikh

tukijikita huko tutashindwa kuendelea na mada na hapo nilisema kuweka rekodi sawa kwa hiyo usiogope wala usihofu na wala sio mipasho na mafumbo...

hapo umenielewa nadhani...
 
Last edited by a moderator:
habari za siku ni nzuri bwana kahtaan, nimeeleweka vizuri sheikh

tukijikita huko tutashindwa kuendelea na mada na hapo nilisema kuweka rekodi sawa kwa hiyo usiogope wala usihofu na wala sio mipasho na mafumbo...

hapo umenielewa nadhani...
huyu kahtaan,foot soldier wa allah,naona ana mid life crisis, anadai ataikomboa America for allah through inbreeding na infidels na he is attaining his goal-uchizi sio lazima uokote makopo
 
Last edited by a moderator:
Al akhiy gombesugu nilikuwa najaribu kuweka record sawa tu kabla mada haijaenda mbali...

hata hivyo mjadala nipo naufuatilia kwa karibu zaidi na michango yote ya wanajamvi nipo naingalia, kwa hiyo usiogope Al Akhiy...

Ahsanta

Kamanda,

Hapo umekosea/umepotokwa pasi kiasi, umetumia hiyo name calling!...yaani umekwenda kinyume kabisaa cha maadili,kanuni na adab za JF! Daah!

Nina hakika hutafanza/hutorejea kitendo hiki dhalili!?

Nakutakia W'end njema!

Ahsanta.
 
huyu kahtaan,foot soldier wa allah,naona ana mid life crisis, anadai ataikomboa America for allah through inbreeding na infidels na he is attaining his goal-uchizi sio lazima uokote makopo

We mtoto wa kitanzania unajiita Son of Alaska! Tena bila haya mbele ya umma wa watanzania.

Yes I AM A SOLDIER. Na kama tactics zangu unaziita mid life crisis, basi ujue kuwa hata hao waliokuletea huo ugalatia The are full time paranoia!
Tazama hii clip wanavyopata tabu na Waislamu.

Halafu uniambie hawa pia wana matatizo ya kufikiri!? Au ni wewe unaejiona tayari Mmarekani tu kwa kujiita mtoto wa SARA PALIN!

Watch your fellow galatians how paranoid they are when big kahtaan is producing!

Watch " Demographics - Whats Next ?" on YouTube - Muslim Demographics - Whats Next ?: http://youtu.be/UbDc6h9N6Tg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Nakhis ungalifanza jambo jema mno,kama utajiepusha na maneno makali na kebehi,kwa Mwanajamvi mwanzio Mkuu FaizaFoxy!?...khasa hapo unapowatukana hao watu wa Kariakoo kwa pamoja!? Daah!

Hao hao unaowakebehi ati ni "waleta porojo"...lakini si ndo haohao tunaambiwa yakua ndo walomsitiri kwa malazi na chakula yule "Baba wa Taifa",au!?...hili katwambia/katuthibitishia yule Nyerere mwenyewe hadharani,tena mara kadhaa!

Je nyinyi Wabondei hamna hila na madhila yenu!?...hivi kweli itakua vyema Mwanajamvi mwangine naye atumie kujibu hoja zako,kama ni platform ya kuwananga Wabondei nyoote!? Daah!

Ahsanta!

yakhe kinakuogopesha nini hadi umejitanda uso rudi na ID yako; yakhe wanipa ubondei nisioujua mimi ni mtanzania sisimamii dini wala ukabila kwenye siasa! mtoto wa kike kuwa mrongo haipendezi sasa kebehi zipo wapi??
 
We mtoto wa kitanzania unajiita Son of Alaska! Tena bila haya mbele ya umma wa watanzania.

Yes I AM A SOLDIER. Na kama tactics zangu unaziita mid life crisis, basi ujue kuwa hata hao waliokuletea huo ugalatia The are full time paranoia!
Tazama hii clip wanavyopata tabu na Waislamu.

Halafu uniambie hawa pia wana matatizo ya kufikiri!? Au ni wewe unaejiona tayari Mmarekani tu kwa kujiita mtoto wa SARA PALIN!

Watch your fellow galatians how paranoid they are when big kahtaan is producing!

Watch " Demographics - Whats Next ?" on YouTube - Muslim Demographics - Whats Next ?: Muslim Demographics - Whats Next ? - YouTube
Keyboard tigress,doubts if you can really produce only alternative bomb belt on thy waist-and go meet your creator in hell
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom