Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

Yesu yule wa kweli katufundisha kukaa mbali na MAKAFIRI na Watu woote wanaokula viti moto na nyamafu za wanyama wanapigwa kabali ambao wewe na wazee wako mnaokula.

Pia katufundisha kuwa Kafiri yyt ni najisi kwa hivyo usimkaribishe sehemu takatifu atakuja kukuachia najisi buree!

Lkn nyie yule feki wa kizungu kawafundisha vingine kabisa.

Hahahaha, Waislam wanasema eti Yesu wa kweli yumo Kwenye Quran, lakini ukisoma Quran hakuna Yesu alichofanya zaidi ya kuelezewa CV yake kwa juu juu, ni kama mtalii vile. Quran inawaita wakristu kuwa ni watu wa "Kitabu", hii inamaanisha tayari Bible ilikuwa tayari, Mudy amekopi verse za bible kidogo, akachanganya na mawazo yake akaunda Quran. Ndio maana utaona wakati ule watu waliamini kuwa Jua linazama ardhini, dunia ni flat.

Badala ya kufanya utafiti, Mohammad akaandika kuwa jua linazama kwenye tope la moto, hahaha
 
Yesu katika uislamu hakutufundisha chochote zaidi ya kusisitiza kuwa mungu ni mmoja na yeye si mungu.

Unajuwa hawezi kuwa na mafundisho zaidi kwa zama hizi kwasababu zama hizi ni dhama za Muhammad S.A.W ambae mungu kamleta kwa walimwengu wote.

Mohammad amekuta tayari Bible ipo, ndio maana kwemye Quran anaita wakristu watu wa "Kitabu", yeye alivyokuja akaunda kikundi kikubwa cha kuanza kuua watu kama hawawi waislam, ni sawa na ISIL wanavyofanya leo. Waliambiwa wasipokuwa waislam watauawa au walipe kodi. Kwa taarifa yako mababu wa waarabu walikuwa wakristu lakini mnamo mwaka 600 baada ya Yesu watu waliuawa. Quran ni mawazo binafsi ndio maana utaona mtu anasema Jua linazama kwenye tope, pia kuna siasa nyingi ndani.
 
Hahahaha, Waislam wanasema eti Yesu wa kweli yumo Kwenye Quran, lakini ukisoma Quran hakuna Yesu alichofanya zaidi ya kuelezewa CV yake kwa juu juu, ni kama mtalii vile. Quran inawaita wakristu kuwa ni watu wa "Kitabu", hii inamaanisha tayari Bible ilikuwa tayari, Mudy amekopi verse za bible kidogo, akachanganya na mawazo yake akaunda Quran. Ndio maana utaona wakati ule watu waliamini kuwa Jua linazama ardhini, dunia ni flat.

Badala ya kufanya utafiti, Mohammad akaandika kuwa jua linazama kwenye tope la moto, hahaha
Akili za nguruwe na gongo hizi. Taabu tupu!
 
Hayo madini kawapa ustaadh JK ambae ni muislam mwenzako.

Kama unavyosema J.K ni muislamu basi hawezi kufanya hayo niliyoyasema, maana mungu ninaemuamini na kama na yeye anamuamini huyo huyo basi kataka waislamu waende duniani wakawe mahalifa "viongozi" wa kuwaongoza watu.

Hii yote inayoendelea sasa kairithi kutoka kwa mkatoliki mkapa! Yeye ndie akiekuja na Sera za kibabe za kibinafsishaji na kuuza Mali za umma kwa being powaaaaa.

Mikataba yote mibovu na Sera za madini J.K kairithi kutoka kwa mkatoliki mkapa! Eti kila $100 ya madini inayopatikana kutoka Tanganyika basi watanganyika yenu ni $3, mahoteli kila baada ya miaka mitano ni kubadilisha majina!!!????

Mfano ilianza Sheraton baade ikaja moven pick na sasa ni Serena wajinga ndio waliwao na hii yote ni foundation ya mkatoliki mkapa alietoka kwao msumbiji kuongoza manyang'au Wa Tanganyika

N
 
Yesu yule wa kweli katufundisha kukaa mbali na MAKAFIRI na Watu woote wanaokula viti moto na nyamafu za wanyama wanapigwa kabali ambao wewe na wazee wako mnaokula.

Pia katufundisha kuwa Kafiri yyt ni najisi kwa hivyo usimkaribishe sehemu takatifu atakuja kukuachia najisi buree!

Lkn nyie yule feki wa kizungu kawafundisha vingine kabisa.

YESU hajawahi kuwa mbanguzi, alisema hivi.

Matayo 5:43-48

[SUP]43 [/SUP]"Mmesikia kuwa watu zamani walikuwa wakisema, ‘Umpende jirani yako na umchukie adui yako.' [SUP]44 [/SUP]Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa, [SUP]45 [/SUP]ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaanga zia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki. [SUP]46 [/SUP]Kama mkiwapenda wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Hata wenye dhambi hufanyiana hivyo. [SUP]47 [/SUP]Na kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya nini zaidi ya wengine? Hata watu wa mataifa wasiomjua Mungu, hufanya hivyo. [SUP]48 [/SUP]Kwa hiyo inawapasa ninyi muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu."

Kwenye Quran Mohammad kawafundisha hivi.

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.
 
Endelezeni chuki zenu ipo siku yatatokea yale ya Ant balaka.

Litokee mara ngapi nchi hii!??? Wewe uko nchi gani ndugu yangu? Jee watu elfu 20000 ambao wote ni waislamu waliouliwa ZNZ na mikono ya WATANGANYIKA chini ya Mkatoliki Nyerere kwa kisingizio cha mapinduzi bado hawatoshi!!!!????

Au waislamu 70 Wa Pemba waliouliwa na mkatoliki mkapa ZNZ kwa kisingizio cha kuzuia maandamano ya kudai time guru ya uchaguzi, Katiba mpya na uchaguzi wa ZNZ uliovurugwa urudiwe.

Basi ikiwa idadi yote hiyo ambayo waislamu Wa ZNZ wameuliwa na wakristo Wa Tanganyika ni ndogo basi nendeni mkaongeze kuwauwa zaidi.
 
Tatizo lako umefundishwa chuki hizi tangu ukiwa madrasa

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Labda nijaribu kuweka swali lako sawa ili lieleweke......JE HAKUNA GAIDI ANAYETUMIA UKRISTO KUHALALISHA UGAIDI WAKE NA AKAPATA SAPOTI YA WAKRISTO.? AMA WAKRISTO KUKAA KIMYA KUTOKEMEA VITENDO VYAKE VYA KUTUMIA UKRISTO KUTEKELEZA UGAIDI?

Hii ndiyo tofauti kubwa ya ukristo na watu wa imani nyingine.... wapo watu kama LORD'S RESISTANCE ARMY....wao wanasema wanataka kuweka utawala wa amri kumi za Mungu, huku vitendo vyao ni tofauti na ukristo, huwezi kusikia wakiombewa makanisani ama kuitwa mashujaa..... ukristo si kuonea wala kutesa.......yapo makundi ya kikristo yaliyoinuka baada ya kuonewa na kuteswa (crusaders/anti Balaka) lakini huwezi kuta yanaungwa mkono na wakristo.
Wakristo huamini kuwa Mungu hujitetea mwenyewe na wala hawapaswi kulipiza kisasi. Hufukuzwa, kuuwawa na kufanyiwa dhulma nyingi ( kutopangishwa kwenye baadhi ya nyumba, maduka yao watu hawanunui bidhaa) lakini SILAHA YA MKRISTO NI MAOMBI na si VURUGU, KADHIA, KISASI ama KUUA

Ukristo unatumia serikali rasmi kuonea watu. Wamarekani na Waingereza ni mifano.
 
Akili za nguruwe na gongo hizi. Taabu tupu!

Quran 18:86

Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
 
kwanini ustaadh baada ya kuingia madarakani hakusitisha mikataba yao kama tunaibiwa tofautisha uzungu na ukristo wewe kilaza.

Kidogo napata wasiwasi na wakristo ambao Wa nchi hii wanaojisifu wamebukua na kupata elim dunia "Kama mnavyoita kuwadhihaki waislamu"

Kikwete ni muislamu japo ni CCM lakini anazo akili na maarifa! Wewe ulitaka avunje mikataba ambayo tayari mkatoliki mkapa kaweka na wakristo wenzake, jee unajua gharama za kuvunja mikataba????

Basi kuvunja mikataba ni kosa kubwa kuliko hata kuwapa madini yote wachukue bure Kama wavyofanya sasa.

Muulize mkatoliki mkapa na ngano ya baharesa au lowasa na jengo LA ocean view masaki watakupa habari sake.
 
Yesu yule wa kweli katufundisha kukaa mbali na MAKAFIRI na Watu woote wanaokula viti moto na nyamafu za wanyama wanapigwa kabali ambao wewe na wazee wako mnaokula.

Pia katufundisha kuwa Kafiri yyt ni najisi kwa hivyo usimkaribishe sehemu takatifu atakuja kukuachia najisi buree!

Lkn nyie yule feki wa kizungu kawafundisha vingine kabisa.

MUNGU SI MZUNGU, Yesu wa Bible alitabiri hivi. Linganisha hapa utoke Gizani

UTABIRI
Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
4 Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

BAADA YA MIAKA 600 UTABIRI UNATIMIA

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
 
unakamata watu hawana haitia kwa kuupinga muungano tunasema hatttaki na utavujia tu namole wenu kuchechea udini itafika kipindi waisilamu watahisi wanaonewa heri ya ebola majanga

Waarab wanawadanganya ili mkivunja Muungano waanze kuwatawala kwa SHARIA, wanawake wakifumaniwa wanapigwa RISASI kichwani kama Afghanistan

Wakristo Wachache watauawa, watakuwa wakimbizi, Kama ilivyo ISIL iraq
 
Quran 18:86

Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

mkuu upo vema sana naona unawabana hawa kizazi cha isimael ambao ni watoto wa mtumwa kuwaonyesha kwamba udhalimu wao upo wazi.wana mafundisho ya kipagani haswa
 
Waarab wanawadanganya ili mkivunja Muungano waanze kuwatawala kwa SHARIA, wanawake wakifumaniwa wanapigwa RISASI kichwani kama Afghanistan

Wakristo Wachache watauawa, watakuwa wakimbizi, Kama ilivyo ISIL iraq

wakristo tutawatala hawa waislamu milele
 
Hivi hakuna gaidi mkristo?

Hakuna gaidi wakristo,kwasababu wakristo wameshazoea kuburuzwa.......wakiambiwa Yesu mungu wanakubali,wakiambiwa Yesu ni mtoto wa mungu wanakubali,wakiambiwa yesu mtume wanakubali,Mkiambiwa Yesu...........,yaani kuburuzana tu hawajui lipi la kweli lipi la uongo
 
Nigeiye andiko japo la leo lilorekebeshwa kuwa Yesu kaondoka na katuwachia kitabu kifahamikacho kwa jina la "BIBLIA".
 
Mohammad amekuta tayari Bible ipo, ndio maana kwemye Quran anaita wakristu watu wa "Kitabu", yeye alivyokuja akaunda kikundi kikubwa cha kuanza kuua watu kama hawawi waislam, ni sawa na ISIL wanavyofanya leo. Waliambiwa wasipokuwa waislam watauawa au walipe kodi. Kwa taarifa yako mababu wa waarabu walikuwa wakristu lakini mnamo mwaka 600 baada ya Yesu watu waliuawa. Quran ni mawazo binafsi ndio maana utaona mtu anasema Jua linazama kwenye tope, pia kuna siasa nyingi ndani.

Nisaidie andiko japo la leo lilorekebeshwa kuwa Yesu kaondoka na katuwachia kitabu kifahamikacho kwa jina la "BIBLIA".
 
Ndugu zangu waislam tusijibu tag za ukabila na kashfa za udini tujadili kadhia ya masheikh wetu kuonewa na kushtakiwa chini ya sheria hi ya ugaidi.
Tujue sheria hii ilitoka kwa Bush dhidi ya haki za waislam.
So nawashauri tusitolewe kwenye mada waache tu waseme.
 
Back
Top Bottom