Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

Ni kinyume na katiba ya znz na muungano kywafunhulia mashtaka kina Farid na wenzake Dar es salaam.
Wao kama ni uhalifu wameufanya huko znz .
Kuwaleta huku ni katika njia za kuwa dhalilisha na kuwatesa wao na jamaa zao kwani wai hawana jamaa hapa..
Na pia msaada wa wakili kwao iwe shida kwani gharama za wakili wao kuja dar zitapanda.
Hii imefanywa makusudi na haina uhusiano na mashtaka yenyewe ndio maana tunasema hii vita dhidi ya wazanzibari uislam na waislam.
Haijawahi kutokea mbongo kukamatwa na kupelekwa znz kushtakiwa kwa kosa alofanya bara.
Mbina Ambrose mkristo mwenye itikadi kali alolipua kanisa arusha hajapelekwa znz kushtakiwa?
Chuki chuki huzaaa hasira na fujo....
Ukweli farid na wenzake wanaonewa kwa sababu ya uislam wao tu
 
Gaidi ni gaidi tu, kwani wakati anaua watu aliwauliza kama wanatokea Tanganyika au Zanzibar?. Asurubiwe kabisa huyu gaidi mwenye asili ya kiarabu. Aende kwao uarabuni aue waarabu wenzake na siyo huku

Kamuuwa nani kwani?

Sent from my D5503 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom