Pona
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 1,099
- 647
Hahahaha, Waislam wanasema eti Yesu wa kweli yumo Kwenye Quran, lakini ukisoma Quran hakuna Yesu alichofanya zaidi ya kuelezewa CV yake kwa juu juu, ni kama mtalii vile. Quran inawaita wakristu kuwa ni watu wa "Kitabu", hii inamaanisha tayari Bible ilikuwa tayari, Mudy amekopi verse za bible kidogo, akachanganya na mawazo yake akaunda Quran. Ndio maana utaona wakati ule watu waliamini kuwa Jua linazama ardhini, dunia ni flat.
Badala ya kufanya utafiti, Mohammad akaandika kuwa jua linazama kwenye tope la moto, hahaha
MTU aliemwerevu na kwenye akili huweka ushahidi wa maneno yake hivyo na wewe angalau ungetuwekea japo verse moja ambayo Mtume Muhammad kakopi katika Katiba ya wakristo " bible" na kutia katika kitabu cha mungu Quran.
Kwanini we we hujui mungu ana mipango take!??? Na alikuwa anawaleta mitume duniani kwa utaratibu maalum au wewe ulitaka wote waje siku moja na wakati mmoja?
Mbona huhoji kwanini ilianza zaburi, baadae taurati na baadae injili katika hicho kitabu mnachosema mna maneno ya mungu "bible"
Kwa ufahamu wangu bible ina harufu tu ya maneno ya mungu, karibu maneno tote ni maneno ya waandishi na ndio maana hapa kwetu Mara nyengine hukutana bunge la maaskofu kipalapala Dodoma na kuifanyia marekebisho ili iendane na wakati.
Wasiwasi wangu ni huu, jee mwanadamu anapata wapi uwezo wa kurekebisha maneno ya mungu? Kama Ana uwezo huo basi wanadamu ni zaidi ya mungu maana wanamkosoa mungu.