inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 500
- 420
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa