Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
462
394
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
 
haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! hii sio dini!!
waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika
 
hana hoja,uwezo mdogo wa kufikiri ni "sheikh ubwabwa" hakuna muumini wa kweli wa dini ya KISLAMU anayeweza kuchoma moto nyumba ya ibada ya madhebu mengine kimsingi hawa ni wahuni na makafiri waliojificha katika kivuli cha UISLAMU

sure mkuu i know muslims ndi ndugu/jamaa zangu nmeishi nao vizuri
 
wekeni cv yake hapa

cv ATOE WAPI HUKO KUKU MKUU??

Kova si alisema atamkamata wakati wowote

watanzania, shekhi ponda sio janga, ni mpuuzi mmoja anayejua serikali ni dhaifu na anaiburuza, he is like a spoilt b****

wamtandike viboko marambili tu uone kama atakua anongea-ongea

HIVI HAKUNA KABISA VIJA WA KIKRISTU KUMPFUNDISHA HUYU KUKU ADABU?
 
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
Sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
na hizo tivii zinazompa airtime ni pumbavu kabisa
 
Mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio Sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa

Mkuu haya mambo sasa yanachosha
 
haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! hii sio dini!!
waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika

Tatizo kubwa na elimu waliyonayo wenzetu hawa
 
Mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio Sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya

Huyu mzee lazima awekwe chini ya ulinzi mkali sana maana ametusumbua sana kwenye sensa kiasi kwamba taarifa ya sensa inatiliwa mashaka, sasa analianzisha la udini na ndio hawa wanaisema CHADEMA ni chama cha kikristo.ya Huyu kova angefanya mambo yetu kama yale ya kule Mbeya wakati ule. Huyu Mzee angetulia kimyaaa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom